Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Teh teh teh JF is never boring..

Tuliletewa picha za nyumba ya msanii hapa fensi ya nyumba za kale, garden imepigwa picha nyumba sijui iko Msumbiji huko, Choo cha ndani cha kukaa mguu wa kulia unakosa pa kuuweka (typically ni vyoo vya lodge/hotel), nyumba haijaisha ila inaonesha ina crakes za muda mrefu lakini alitetea ila leo anatukana Watanzania eti hawawezi kureason teh teh teh

Anyway gari si yake maana hata kule mabwepande anakokaa haiwezi kupita..
 
Okay, just don't believe the hype about ISIS, the NSA just Wants to be a part of our lives again...
 
Kumbe matola we ni ke, nilidhani dume mwenzetu. We lazima nikuchape, mwaka huu hauishi.
 


Kwan unatukanwa na nanii shoga maana SI gazeti hilii kwiii kwiiii kwiiiiiiiii
 
Mwenye gari huyo hapo

Kwa ufupi Dogo Diamond anawachezea tu akili. Yeye ameweka gari wala hakusema lake. Ksema tu thanks baby. Na ameicha hivyo makusudi ili iwe na interpretation nying. The kid is smart. :becky::becky:. Sasa watu wameacha kuongelea habari ya kumhujumu kwa kumpigia Davido wameanza ku discuss gari ha ha ha. Dogo Diamond una akili sana wewe:becky:. Aliyekupa ujanja wa kwamba akili za wabongo zinaenda na matukio kakupa bonge la ujanjaa. Kepp on confusing those haters until they forget what gender they are. I can't stop laughing at this stunt. Well orchestrated. Yaani mpaka wameshaanza kumfollow huyo mmiliki wa gari jinsi wabongo walivyo viazi
 
Shoga nimtetee wapi, Hapa nawacheka waliokuwa wanatulisha ndimu hapa...
Ndio maana nikasema aibu naona mimi maana ni balaa.
Unaropoka kitu halafu haipiti hata nusu saa unaumbuka vibaya!

Hahaaaaa nimecheka balaaa nilijua tu ni uzushi na kiki sasa wengine wakaanza yao. loh😀😀😀 kuweka akiba ya maneno muhimu sana aisee mihemko mibaya.
 
Hahahahaaa, sio wanawake wote bwana...hebu tutoe sisi wachache tunaojielewa.

Huu ni msiba kwakweli, naanza kumkumbuka rafiki yangu mmoja dalali wa kuuza magari wadada mazuzu wanamwita tajili anabadirisha tu magari mwe! Akili ni Nywele Tajiri Mengi yupo na Voque yake kila siku halafu kidampa anayebadirisha GX 100 aziuze anaitwa tajili!! Asalamaleku wallahi.
 

ahahahahahahahahahahahaaaaaa!!!mbavu angu mie leooo!!!gari ni ya diamond we subiri uone!anapimia tu hapa haters aone wanavyotokwa povu.
 

WEnye nazo huwa hawapigi kelele wala kufanya show off character ila kina kajamba nani fujo mwanzo mwisho.
 
ahahahahahahahahahahahaaaaaa!!!mbavu angu mie leooo!!!gari ni ya diamond we subiri uone!anapimia tu hapa haters aone wanavyotokwa povu.

Teh teh teh labda kama ataliacha huko huko SA maana kule kwake halifiki..
 

Hahahaaaa classic cases of boo boo the fool:becky:.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…