BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
ahahahahaaha chibu ni shidaaa mkuu!!yaani yamoto band kuiona tu ile gari wakasema ngoja tuitolee shooting mapema kabla haijaja bongo!!
Malimao leo yamefanya kazi kwa haters!!
litafika tu maana leo nimeona wanaweka Tarmac kutokea kwake mpaka barabara kuu!!ahahahhahahahaaaaaaaaa!!diamond noma arifu
Yaani yule mwanamke ni kiboko aisee tena cha mninga!!khaa amejuwa kuwaweza wallah tena!
Mahaba mahabani
Naomba unipe proof kuwa hilo sio gari la Diamond....
yaan mim Daimond kaniambia gari ni lake kabisaa
Siku hizi ndimu hazina wateja sana, change biashara lol....sahivi wateja wananunua mifuko tu kwa ajili ya kutapikiaNatoa ofa y ndimu mwezi mzima lazma wapone
Zari katisha..
atauwa watu zari jamanii,watu wanaandika magazeti kisa gari hhhhhaaaa,sie tunajua kila kitu kwa vile wanatokwa mapovu ndio maana tunasema ni lake ili povu liwe jingii
Ninoma sana chibu huku wengine wakifanya na magari mabovu yy kawachukuliwa yamoto band Lambo haha
Leo ata debe la malimao halitatosha, inabidi tuagize magunia kama 20 hivi ama nenee! Chezea Lamborghini.
Ndugu mbona umepooza sana hata kuandika gazeti leo imekuwa shida? Au mhariri yupo rikizo?
Ninoma sana chibu huku wengine wakifanya na magari mabovu yy kawachukuliwa yamoto band Lambo haha
Leo ata debe la malimao halitatosha, inabidi tuagize magunia kama 20 hivi ama nenee! Chezea Lamborghini.
atauwa watu zari jamanii,watu wanaandika magazeti kisa gari hhhhhaaaa,sie tunajua kila kitu kwa vile wanatokwa mapovu ndio maana tunasema ni lake ili povu liwe jingii
dina mbavu leoooo!!!nikikumbuka ulichoniambia kule nacheka bila kikomo wallahi mpaka machozi yananitoka!!kweli we jf mkongwe khaa!!
atauwa watu zari jamanii,watu wanaandika magazeti kisa gari hhhhhaaaa,sie tunajua kila kitu kwa vile wanatokwa mapovu ndio maana tunasema ni lake ili povu liwe jingii
Jioneni mnavyoonyesha ujinga wenu, hivi kuna siku ukweli uliwahi kushindwa.
Mna la kujifunza leo kama kichwani mpo timamu na huyu jamaa yenu anawadharau sana fans wake kwamba akili zenu shake well before use.
rikizo = likizo... Kajifunze kusoma na kuandika kwanza QT ndio uje.
dina mbavu leoooo!!!nikikumbuka ulichoniambia kule nacheka bila kikomo wallahi mpaka machozi yananitoka!!kweli we jf mkongwe khaa!!
Hebu tupishe sisi huko!!kwa raha zetu na kwetu hatugombwi!we ujinga wetu unakuathiri nini??tuache tuwe wajinga,wenyewe tumeamua kuwa wajinga!!
rikizo = likizo... Kajifunze kusoma na kuandika kwanza QT ndio uje.
hhhhhaaa chezeeyaaa gari weyeee itabidi na juice ya limao maana wanatapika SI mchezooo