Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

ahahahahaaha chibu ni shidaaa mkuu!!yaani yamoto band kuiona tu ile gari wakasema ngoja tuitolee shooting mapema kabla haijaja bongo!!
Malimao leo yamefanya kazi kwa haters!!

Ninoma sana chibu huku wengine wakifanya na magari mabovu yy kawachukuliwa yamoto band Lambo haha
 
Attachments

  • 1434475560304.jpg
    1434475560304.jpg
    42.9 KB · Views: 238
Yaani yule mwanamke ni kiboko aisee tena cha mninga!!khaa amejuwa kuwaweza wallah tena!
Mahaba mahabani

atauwa watu zari jamanii,watu wanaandika magazeti kisa gari hhhhhaaaa,sie tunajua kila kitu kwa vile wanatokwa mapovu ndio maana tunasema ni lake ili povu liwe jingii
 
Matola watwakwambia kafanya vizuri kuteka watu ana akili sana ya kutafta attentions na Zari ana akili sana loh.
Umeongea kweli tupu sio lazma kufanya kila kitu ili kupata attention. Davido is next level na katoka kwenye background nzuri hana haja ya kukimbizana naye awe yeye ka yeye atafka ana safari ndefu bado. Nyani Ngabu umeongea ushauri wa maana wenye kusoma wamakuelewa. Akiba ya maneno ni muhimu.
 
Last edited by a moderator:
atauwa watu zari jamanii,watu wanaandika magazeti kisa gari hhhhhaaaa,sie tunajua kila kitu kwa vile wanatokwa mapovu ndio maana tunasema ni lake ili povu liwe jingii

Lamborghini watu wamesahau adi tuzo zao 5 hahahah Diamond anakipaji si chakuimba tu. Mpaka kucheza na akili za watu hahaha
 
Leo ata debe la malimao halitatosha, inabidi tuagize magunia kama 20 hivi ama nenee! Chezea Lamborghini.

hhhhhaaa chezeeyaaa gari weyeee itabidi na juice ya limao maana wanatapika SI mchezooo
 
Ninoma sana chibu huku wengine wakifanya na magari mabovu yy kawachukuliwa yamoto band Lambo haha

Leo ata debe la malimao halitatosha, inabidi tuagize magunia kama 20 hivi ama nenee! Chezea Lamborghini.

atauwa watu zari jamanii,watu wanaandika magazeti kisa gari hhhhhaaaa,sie tunajua kila kitu kwa vile wanatokwa mapovu ndio maana tunasema ni lake ili povu liwe jingii

dina mbavu leoooo!!!nikikumbuka ulichoniambia kule nacheka bila kikomo wallahi mpaka machozi yananitoka!!kweli we jf mkongwe khaa!!

Jioneni mnavyoonyesha ujinga wenu, hivi kuna siku ukweli uliwahi kushindwa.

Mna la kujifunza leo kama kichwani mpo timamu na huyu jamaa yenu anawadharau sana fans wake kwamba akili zenu shake well before use.
 
aahahahahahahahaaaaaaa!!dina unanimaliza mama!!gari ni la platnum na limeingia leo asubuhi ndio amelipokea,na yamoto band wakaamua kulifanyia shooting kabla halijafika bongo
 
Jioneni mnavyoonyesha ujinga wenu, hivi kuna siku ukweli uliwahi kushindwa.

Mna la kujifunza leo kama kichwani mpo timamu na huyu jamaa yenu anawadharau sana fans wake kwamba akili zenu shake well before use.

Hebu tupishe sisi huko!!kwa raha zetu na kwetu hatugombwi!we ujinga wetu unakuathiri nini??tuache tuwe wajinga,wenyewe tumeamua kuwa wajinga!!
 
rikizo = likizo... Kajifunze kusoma na kuandika kwanza QT ndio uje.

Nitaanza darasa la kwanza kabisa ila swali langu linabaki palepale hata wewe ni shake well before use? Na ile website ya KTMA imeishia wapi?
 
dina mbavu leoooo!!!nikikumbuka ulichoniambia kule nacheka bila kikomo wallahi mpaka machozi yananitoka!!kweli we jf mkongwe khaa!!

Mimi jamani nimeambiwa kabisa na Daimond na zari wameaniambia wao wanabisha wabisheeee
 
Hebu tupishe sisi huko!!kwa raha zetu na kwetu hatugombwi!we ujinga wetu unakuathiri nini??tuache tuwe wajinga,wenyewe tumeamua kuwa wajinga!!

Ni mzigo kwa Taifa tangu awamu ya Nyerere tunapigana na adui ujinga wewe unashabikia kuwa mjinga? Msiba huu.
 
hhhhhaaa chezeeyaaa gari weyeee itabidi na juice ya limao maana wanatapika SI mchezooo

Kitu cha Lamborghini lazima wakeshe wameshika mifuko ya kutapikia. Wanashusha magazeti ya. Majira hayana ata picha.
 
Back
Top Bottom