hahaha yaani naanda champagne kwa ajili ya hiyo siku kitaeleweka tu yaanii vote vote votee....yaani hadi rahaamakamanda nawaaminia .... siku ya tuzo itabidi kila mmoja kwa wakati wake huko aliko ajipongeze manake hii kazi nzito
Karibu mkuu!humu ndani bado tunaendelea kuwatibu wagonjwa wetu wa mtindio wa ubongo!wengine wamelazwa na wengine wanaelekea Intensive Care Unity sasa hivi
Hiyo ndio akili msifuatishe Matola mod anayemban anajisumbuwa tu.Hdi MTV Mama ziishe sitajibu mtu vibaya. hata aniprovoke vipi ntamwambia tu leo sina mkuki... manake hii kampeni ni nzito. so jamani tuwavumilie ili tuweze kutimiza lengo. muwaambie na wengine
Hao wana ulinzi maalum hapa jukwaani ukisema ukweli nani anawalinda subiri ban, nawaomba muwe watulivu huku mnakandamiza sindano za moto.mkaka/mdada kwanini usitumie tu lugha nzuri kujibu mashambulizi? charty usimjibu tena. tukipewa ban unadhani tunaweza kamilisha jukumu mbele yetu??akitukana mwambie asante sana leta lingine
Huku hamjulikani nimetoka facebook huko ni balaa ukitaka kujuwa Domo hapendwi na watu wamempania. Nenda Facebook uwaone watu kwa majina haliisi na facebook hakuna ban watu wanajiachia tu.Hahahahaaa, mwenzangu asante kwa kunifumbua macho.Yaani watu wamewehuka hadi unajiuliza tatizo ni nini?
Hakuna kipindi kigumu kwa mashabiki wa domo kama kipindi hiki wanachopitia sasa.
hahaha yaani naanda champagne kwa ajili ya hiyo siku kitaeleweka tu yaanii vote vote votee....yaani hadi rahaa
Vote vote nimeshavote kwa best male mara mia napumzika nihamie best collaboration mamy
Hahahahahah tatizo wabishi kunywa dawa hahahah sijui kama watapona may be watakufa .
Hiyo ndio akili msifuatishe Matola mod anayemban anajisumbuwa tu.
Hao wana ulinzi maalum hapa jukwaani ukisema ukweli nani anawalinda subiri ban, nawaomba muwe watulivu huku mnakandamiza sindano za moto.
Huku hamjulikani nimetoka facebook huko ni balaa ukitaka kujuwa Domo hapendwi na watu wamempania. Nenda Facebook uwaone watu kwa majina haliisi na facebook hakuna ban watu wanajiachia tu.
Kuna watu huwa wanajidanganya kumpiga ban za kijinga Matola ndio kuivunja nguvu Team ya ushindi hovyooooooooooo.
bwahahahahah mie mwenyewe nimestuka sasa sijibu tena maana wananitafutia ban ili nisihamasishee...ntasema hivii..nguruweee pita sina mkukiii mie...lol umenifurahisha saaana mrembo by naturee
Wanywe wapi dawa?!watapona tu na ujinga wao!wanajidai wavuta bhangi wakati sie wengine tunavuta bhangi zenye marashi
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.
Gari limetokana na kiingilio cha Mil. 3 nini?
Mimi nimeshamaliza hapa...nimepiga hadi nikachoka maana hata hawanipi limit.
Ngoja nirudi na nyingine sasa hivi..
Aisee mbona wamesema ya uongo? Mnataka kujadili uongo au? Huyu aloleta habari za Uongo ningekua Moderator ningempiga ban.Mods tufungulieni thread ya Acc fake ya Davido pls, kwanini mnatunyima uhondo? Mrembo by Nature cute b charty Matola Ms.Lincoln
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.
Hahaaahahah itabidi tunapeleke milembe labda watapona
Aisee mbona wamesema ya uongo? Mnataka kujadili uongo au? Huyu aloleta habari za Uongo ningekua Moderator ningempiga ban.
[h=1](Kanusho): Davido ajibu wanaomvotia tuzo za MAMA 2015[/h]
Kuna siku atamununulia helkopta washachoka na wambea kuwachungulia, sijui chip ashaanda uwanja??Hahahahaaa, gari kanunuliwa na babe mkuu, hujui kua Zari ndio mwanamke mwenye IQ kubwa kuliko wote duniani?
Ni mwanamke gani anayejua kutafuta pesa kuliko Zari? Hivyo usishangae yeye kumnunulia mpenzi wake 'Lamborghini' sio kitu kwake.