Mara davido Mara wizkid Mara sijui flavour hhahahahah mnahangakaika tu sababu hesabu hamziiui hahahah
Si ni dai tu hahahaahah
Mods tufungulieni thread ya Acc fake ya Davido pls, kwanini mnatunyima uhondo? Mrembo by Nature cute b charty Matola Ms.Lincoln
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.
Yaani wao tu na roho zao na bundle zao!kimpango wao wasituletee shobo zao!!wapige hata millions time,diamond mpango wa mungu
Eti tuna tafuta kiki hahahahahahahh kwa nani kwa new comers mliotukuta humu ambao mmepata fame kwa kujipendekeza founders members wa JF hahahahahh
Fame yenyewe haina impacts zaidi ya umbea tu.
Kama nimekugusa sepa rudi gamboshi ukaendeleze na vikao vyenu vya kichawi mlugaluga.
afu nimekukubali niaje kumu ignore huyo mpuuzi hapo juu anayetafuta kiki....woiii leta popcorn tutafune huku tukisugua madole gumba kwenye ku votee...bwahahahah.... mtakufwaa u knw..!!
Ata mimi nimeona umefungwa mamy.
Kwa vichambo vile lazma atakua ameenda kulia lia kwa mods
ahahahaaa halafu angalia walivyo wanafiki!kuna siku walisema ooh 'hatutochangia nyuzi zao maana wanataka sifa watu wajae kweye nyuzi zao''wambea tukasema poaaa!!!nashangaa uzi unamhusu dai na zari wao na ashki majinun zao haoo wametia timu!
Kiki tunazo kitambo ndio maana hawaachi kuja kwenye huu uzi tangu jana!kuna uzi wa ben pol kunusurika kifo lakini hawaendi wanashinda humu kwa dai na zari kazi kubishana na watu ambao hata hawana muda nao!Diamond hana hata time nao
Kuna siku atamununulia helkopta washachoka na wambea kuwachungulia, sijui chibu ashaanda uwanja??
Wataingia hasara ya bando nawashauri wa invest kwenye kuuza matikiti maji huu ndo msimu
Hii biashara haiwezi huku.
Humu JF tuna kila aina ya jinsia!tuna mashoga ambao baadhi wameshakiri ila wengine bado naona wanavunga vunga kujitaja!!tuna watafuta mabwana humu,tuna vilaza na shobo mbinuko ziko humu!kila watu tumo humu,wenginebndio kazi yao hii tangu asubuhi.
Hahahahahahah tatizo ni wachawi hawajijui wameandaliwa mikoba ya bibi zao kurithi na ndo maana nawaambia warudi gamboshi hahahahah
Huu Uzi ni wa dai sio mfalme wao wa wagagagigikoko ambae hasikiki tena saivi baada ya tuzo.
Hii biashara hawaiwezi watapata hasara soon. Hahahahahah
wapi huko?? ntajie account moja huko facebook tukaongeze nguvu. nina mda sijaingia huko. najua wanatutafuta ila hawatupati ng'oooo....karibu kamanda tuendeleze mbio hizi
duhhhh aisee!!
Humu JF tuna kila aina ya jinsia!tuna mashoga ambao baadhi wameshakiri ila wengine bado naona wanavunga vunga kujitaja!!tuna watafuta mabwana humu,tuna vilaza na shobo mbinuko ziko humu!kila watu tumo humu,wenginebndio kazi yao hii tangu asubuhi.
Nenda Facebook search Tanzania wire.