Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Mara davido Mara wizkid Mara sijui flavour hhahahahah mnahangakaika tu sababu hesabu hamziiui hahahah

Si ni dai tu hahahaahah

Yaani wao tu na roho zao na bundle zao!kimpango wao wasituletee shobo zao!!wapige hata millions time,diamond mpango wa mungu
 
Eti tuna tafuta kiki hahahahahahahh kwa nani kwa new comers mliotukuta humu ambao mmepata fame kwa kujipendekeza kwa founders members wa JF hahahahahh

Fame yenyewe haina impacts zaidi ya umbea tu.

Kama nimekugusa sepa rudi gamboshi ukaendeleze na vikao vyenu vya kichawi mlugaluga.
 
Matola ameweka kambi kwenye kuvote tena kwa hasira sasa narecharge bundle la 1GB ili tuheshimiane vizuri kuna kijana nampa ajira kuanzia leo kwenye desktop kazi yake ni kupiga kura tu kwa account yangu mapumziko yake ni saa ya kura na kwenda msalani tu. Kudadadeki tutaheshimiana tu hapa mjini.

Wamekusafirisha tena loooh kweli wana hasira na wew.
Ila wewe ndo kiboko yao wanazan ndo utapotea moja kwa moja ee?
Vote vote vote
 
Eti tuna tafuta kiki hahahahahahahh kwa nani kwa new comers mliotukuta humu ambao mmepata fame kwa kujipendekeza founders members wa JF hahahahahh

Fame yenyewe haina impacts zaidi ya umbea tu.

Kama nimekugusa sepa rudi gamboshi ukaendeleze na vikao vyenu vya kichawi mlugaluga.

ahahahaaa halafu angalia walivyo wanafiki!kuna siku walisema ooh 'hatutochangia nyuzi zao maana wanataka sifa watu wajae kweye nyuzi zao''wambea tukasema poaaa!!!nashangaa uzi unamhusu dai na zari wao na ashki majinun zao haoo wametia timu!

Kiki tunazo kitambo ndio maana hawaachi kuja kwenye huu uzi tangu jana!kuna uzi wa ben pol kunusurika kifo lakini hawaendi wanashinda humu kwa dai na zari kazi kubishana na watu ambao hata hawana muda nao!Diamond hana hata time nao
 
afu nimekukubali niaje kumu ignore huyo mpuuzi hapo juu anayetafuta kiki....woiii leta popcorn tutafune huku tukisugua madole gumba kwenye ku votee...bwahahahah.... mtakufwaa u knw..!!

Huyo mburulazzz muache aendelee kuucheza mziki wangu mimi sina habari naye.
Huo muda naupata wapi sasa? Watu wana stress zao za KTMA hao achana nao.
Kuanzia sasa ni mwendo wa ignore tu, nina mengi ya kufanya...
Bado campaign inanisubiri..
 
Ata mimi nimeona umefungwa mamy.
Kwa vichambo vile lazma atakua ameenda kulia lia kwa mods

Nimekasirikaje sasa? Mods wana huruma sana aisee...
Ila usishangae ukafunguliwa tena baadae.
 
ahahahaaa halafu angalia walivyo wanafiki!kuna siku walisema ooh 'hatutochangia nyuzi zao maana wanataka sifa watu wajae kweye nyuzi zao''wambea tukasema poaaa!!!nashangaa uzi unamhusu dai na zari wao na ashki majinun zao haoo wametia timu!

Kiki tunazo kitambo ndio maana hawaachi kuja kwenye huu uzi tangu jana!kuna uzi wa ben pol kunusurika kifo lakini hawaendi wanashinda humu kwa dai na zari kazi kubishana na watu ambao hata hawana muda nao!Diamond hana hata time nao

Hahahahahahah tatizo ni wachawi hawajijui wameandaliwa mikoba ya bibi zao kurithi na ndo maana nawaambia warudi gamboshi hahahahah

Huu Uzi ni wa dai sio mfalme wao wa wagagagigikoko ambae hasikiki tena saivi baada ya tuzo.

Hii biashara hawaiwezi watapata hasara soon. Hahahahahah
 
Kuna siku atamununulia helkopta washachoka na wambea kuwachungulia, sijui chibu ashaanda uwanja??

Sio wambea tu, hata sisi WENYE ROHO MBAYA lazima tukomeshwe mwaka huu.
Ndio maana kaanza na kumnunulia babe 'Lamborghini '. ...
Kiwanja cha hiyo helkopta nadhani ndio kinaandaliwa sasa...lol
 
Wataingia hasara ya bando nawashauri wa invest kwenye kuuza matikiti maji huu ndo msimu

Hii biashara haiwezi huku.

Humu JF tuna kila aina ya jinsia!tuna mashoga ambao baadhi wameshakiri ila wengine bado naona wanavunga vunga kujitaja!!tuna watafuta mabwana humu,tuna vilaza na shobo mbinuko ziko humu!kila watu tumo humu,wenginebndio kazi yao hii tangu asubuhi.
 
heeeee heeeeeee unaweza zimia kwa hili bango aiseeeee
 
Weraaaaa kumbe dawa mnaisikilizia na attention mnaweka

Hata mjifanya hamjibu ila komenti mnasoma hahahahah

Poleni sana bandungu

Bamutu mingine mubaya sana
 
Hahahahahahah tatizo ni wachawi hawajijui wameandaliwa mikoba ya bibi zao kurithi na ndo maana nawaambia warudi gamboshi hahahahah

Huu Uzi ni wa dai sio mfalme wao wa wagagagigikoko ambae hasikiki tena saivi baada ya tuzo.

Hii biashara hawaiwezi watapata hasara soon. Hahahahahah

ahahahaa na Wema ndio huyooo anaelekea kuwa mbunge!umbea wa instagram na kumpa mtu promo atakuwa hana tena maana tayari atakuwa mheshimiwa!

Jokate peke yake mziki hauwezi!kina soudybrown wamewakalia kooni mpaka mwenyewe amejiona mjinga!

Wanawaacha watu wakati bado kisebusebu na kiroho papo!!
 
Humu JF tuna kila aina ya jinsia!tuna mashoga ambao baadhi wameshakiri ila wengine bado naona wanavunga vunga kujitaja!!tuna watafuta mabwana humu,tuna vilaza na shobo mbinuko ziko humu!kila watu tumo humu,wenginebndio kazi yao hii tangu asubuhi.

Kweli kabisa kuna wengine nyie wadada mnadhani wanawake wenzenu kumbe ni mameni haahhhahah

Kama ulivyosema kuna shobo mblnuko, shobo mbonyeo na shobo bapa pia hahahhhahah

Harusi sio zao wala hawajaalikwa humu minywele timtim lakini wametia timu.

Kuingia sehemu isiyo kuhusu ya nini kama sio midomo yao kama chuchunge inatafuta pace maana harufu zimezidi

Halafu hawana kazi chekini profile zao wameandika jobless hahahaha sio bora wangeandika wao ni mamalishe tungewaelewa au deiwaka.

Watashindana lakino hawatashinda.
 
Back
Top Bottom