Safi sana Zari, unaonesha jinsi gani unavyotafuta na kutumia pesa zako, umeonesha jinsi gani kuwa wewe sio golikipa wa kusubiri uletewe...
Wengine wanajua kutumia tu na kwenda kuzichezea bila kuwa na uchungu wa kuzitafuta...
hhhhhaaaaaaaaaa uwiiiiiii Hama kabisa tubaki wachache
Haaaaaaaaaaa wakafie mbeleee......
Maana kina Mwajuma tumegoma kuelewa kabisaaaa
Hahaha hapo umenipa raha yaani. Unafaa kuwa shosti wangu aisee.
Inshaallah Mungu atakujaalie akufaae.
Watanzania ni rahisi sana kudanganyika....
hiyo video yamoto band...sijuii hatudanganyikiii kura bado zinapigwaaa ama ninii....
sure kuna mtu hapa ana id tatu mi namchora tuu!!
hyo moja kwa ajili ya matusi ya nguoni akishindwa kujicontrol
ni upuuzi mtupu mi nampotezeaga tu
kwa sababh hakuna tusi jipya duniani!
Mie nimegoma kuhama kabisaaaaa....
kama nilivyogoma kurudi Igunga
Hahahahaaa, bora uhamie wapi eti?
Wewe nae ukiamua kunichekesha unafanyaga hadi sifa!
Sasa hiyo caption ndo inasema kwamba Zari kamnunulia Diamond hiyo gari?
Kaazi kweli kweli.
It's breathtaking!!!!
Ahahah hawaponi ng'o,ulisikia wapi donda ndugu linapona??maumivu milele
Maskini huyu bado anaota usingizini mpaka dakika hii hajitambui.
Kudadeki Ccm hoyeeeeeeeee mmethubutu mmeweza mmetuzalishia wajinga wa kutosha na sasa mnasonga mbele.
hhhhhaaaa nakufungulia yako Tu special
Mwanza au Igunga anaweza kua mstaarabu
hhhhhhaaa mi nabaki huku shamba na sihami ng'ooo mpaka yesu arudi
Hizi team zinashida sana domo hawamuwezi sanasana wataumia roho.....kijana anamek kila kukicha huyo wema n team yke watauza mpka sugu ziwaote hata robo hawatamfikia.
Kupenda hakulazmishwi eti bila wema domo atashuka huyo wema kwanza gundu tupu,hana lolote zaidi y showoff 2 za kijinga
gari ni ya diamond Kwan Hana pesa ya kununuaa,hata kama SI lake lakin anauwezo wa kununuaa,
Kina mwajuma tupo wengi maana wote tumo humu tumebananaa
Na ukimbana Diamond atakwambia alimshukuru baby wake kwa kumkodia gari nzuri aliyokuwa anatamani kufanyia shooting.
Halafu kumbuka brother wanawake hawa kwa akili hizihizi za kina mke jina ndio tunatakiwa tuwawowe!! Huu ni msiba.