Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Eti tuna tafuta kiki hahahahahahahh kwa nani kwa new comers mliotukuta humu ambao mmepata fame kwa kujipendekeza kwa founders members wa JF hahahahahh

Fame yenyewe haina impacts zaidi ya umbea tu.

Kama nimekugusa sepa rudi gamboshi ukaendeleze na vikao vyenu vya kichawi mlugaluga.

Jamani wewe apo usiseme hivooo....
 
Hayaaa kwenu jokate na wema changishen.basi zakina nanio via linnah.mumnunulie tmwetu.kamanda alikiba hata ka ...
 
Hayaaa kwenu jokate na wema changishen.basi zakina nanio via linnah.mumnunulie tmwetu.kamanda alikiba hata ka ...

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Pdidy utafanya watu wableed na ambao washafikia menopouse ,wanawezaa sasaaa hadhiiiiiiii Yao Vitz wakijitahidi Paso et Kimbley
 
Last edited by a moderator:
mkaka/mdada kwanini usitumie tu lugha nzuri kujibu mashambulizi? charty usimjibu tena. tukipewa ban unadhani tunaweza kamilisha jukumu mbele yetu??akitukana mwambie asante sana leta lingine
Wewe mstaarabu ndo maana hata sikukuletea dharau. Huyo mjinga anajua kutukana tu yeye. Sasa huyo unamjibuje?
 
weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Pdidy utafanya watu wableed na ambao washafikia menopouse ,wanawezaa sasaaa hadhiiiiiiii Yao Vitz wakijitahidi Paso et Kimbley
Harooooharoooo hafooo ya vitz.....nn falcon
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom