Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

chuki za wazi wazi ...imba wako af ukashinde...ety viewers nying sio kila anawatch vid ndio kaipenda ..
 
Ni nyimbo gani aliyopata tuzo Domo? Jiongeze.

My number one original version.


Alafu fanya maisha yako acha kuangaika na diamond.....mwenzako anatengeneza money wewe siku hizi upo 24 hours umu kujaribu kuonyesha namna gani hafai...unatia huruma, anzisha thread ya kuomba kutafutiwa kazi ya kufanya umri umesogea sana stress zako usiamishie kwa madogo wanaofait na life.
 

Ni vizuri ungemuomba Diamond alete posa kwa wazazi wako.

BTW wewe unanionaje humu masaa 24 kama hatushindi wote humu?
 
Ni vizuri ungemuomba Diamond alete posa kwa wazazi wako.

BTW wewe unanionaje humu masaa 24 kama hatushindi wote humu?

okay sasa nimekuelewa,kumbe kelele zote hizi unazopiga masaa 24 umu unavizia akupose,nilikuwa najiuliza unafanya kazi saa ngapi. Tafuta kazi ya kufanya kaka hiyo michezo ya kuuza tigo Jakaya kakataza.
 

Heheeeeeee umepotea mwanangu
 
Diamond Platnumz

  • His real name is Nasibu Abdul Juma
  • He is an ambassador for an agricultural initiative called "One.Org "Do Agric" to highlighted agricultural issued and attract and investment to the field
  • The Tanzanian musician is worth over 1 billion Tanzanian shillings
  • In this year 2014 he has won 3 Channel O music awards

Source: Channel O TV Online | Facts: Most Gifted Afro Pop Nominees
 
Diamond ni kama maji wasipoyanywa , watayakoga tu hongera zako
 
Sitaki kujuaa najua ni tuzo zinarudi bongoooooi

Ukweli unaujuwa, usahihi ni kwamba Diamond ashinda tuzo 3 za Chanel O.

Nyimbo ni ile ile ambayo ilikuwa Nominated kwenye tuzo zilizopita na Davido alipata tuzo, hapa tusitiane ujinga Diamond bado anahitaji sana back up ya Davido.

My number one featuring Davido ni nyimbo yenye mchanganyiko mzuri wa radha.

Anyway Wabongo tunajuwana ni yale yale Tanzania kuivamia kijeshi Malawi na Jakaya Kikwete atangaza serikali yake kuipa Japan msaada wa Computer.
 
Umeona eeeh wema nae ana network kubwa so hapo watabadilishana virus tu ila kama ngoma kila mtu ana yake

Yaan mi naona hayupo mwema kusema na ukwelii kama wanao wanaongezeana tu virusii sio kusema fulan atawauaa
 
Hivi huyo wema mzima mkwelii na wale mababu wake na Ck, king kessy na wengine wengi,,acha wauane

Ukiniuliza mimi kwa kutazama tu nani anaweza kuwa na virusi vikali kuliko vya ebola hapo ni Wema!!kutoka na vibabu,wanamziki,marais(comoro),wala unga,wacheza mpira,kusagwa!!Atakua salama kuliko Dai!?Wema wembeeee!!na dai asirudi aisee akirudi ntaacha kumchukia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…