Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nyimbo gani aliyopata tuzo Domo? Jiongeze.
My number one original version.
Alafu fanya maisha yako acha kuangaika na diamond.....mwenzako anatengeneza money wewe siku hizi upo 24 hours umu kujaribu kuonyesha namna gani hafai...unatia huruma, anzisha thread ya kuomba kutafutiwa kazi ya kufanya umri umesogea sana stress zako usiamishie kwa madogo wanaofait na life.
Ni vizuri ungemuomba Diamond alete posa kwa wazazi wako.
BTW wewe unanionaje humu masaa 24 kama hatushindi wote humu?
tumechokaa aah,na leo tena!?tunaumizana pua jaman kila siku nyama!..hv fiesta ndio mpaka lini tena?
Ni nyimbo gani aliyopata tuzo Domo? Jiongeze.
My number one original version.
Alafu fanya maisha yako acha kuangaika na diamond.....mwenzako anatengeneza money wewe siku hizi upo 24 hours umu kujaribu kuonyesha namna gani hafai...unatia huruma, anzisha thread ya kuomba kutafutiwa kazi ya kufanya umri umesogea sana stress zako usiamishie kwa madogo wanaofait na life.
Hivi huyo wema mzima mkwelii na wale mababu wake na Ck, king kessy na wengine wengi,,acha wauane
Sitaki kujuaa najua ni tuzo zinarudi bongoooooi
Umeona eeeh wema nae ana network kubwa so hapo watabadilishana virus tu ila kama ngoma kila mtu ana yake
Halafu jamani nyie wabaguzi sana
Kwenye hiyo picha yupo Zari tuuu
Mama yake Diamond ni mzuriiiiii kiruuuuuuuu
She is so cute!
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.Mie nimemuona zari ndo mzuri ila hao wawili naona kawaida tu
Heheeeeeee umepotea mwanangu
Tayari nasikia anapedeshee linatema mgodi kinoma
Hivi huyo wema mzima mkwelii na wale mababu wake na Ck, king kessy na wengine wengi,,acha wauane