Atasahauje tenAa wazitume harakaaa nasema mfyuuuu
Na hii kutoka kwa Mheshimiwa Betty Mkwasa " hahahahahaha!! yalinikutaga hayo Nairobi mpaka
aliposhtuliwa na meneja wake ndo akanichangamkia mpaka
akavua na kofia yake kwa nidhamu ya hali ya juu!!"
Nanukuu kutoka kwa Mboni Mhita " Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South
Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa
shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa
bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo
pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa
stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka
nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao
kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe
kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba
ujirekebishe mdogo wangu."
Na hii kutoka kwa Mheshimiwa Betty Mkwasa " hahahahahaha!! yalinikutaga hayo Nairobi mpaka
aliposhtuliwa na meneja wake ndo akanichangamkia mpaka
akavua na kofia yake kwa nidhamu ya hali ya juu!!"
Alikua amechokaa akome kukenulia msaniii alitaka amfanyejeee
Bwana mbona picha imewekwa kule kabeba zote tatu....haters washaanza kuwewesekaa....
Rangi za kila aina mmeziona mpaka mnaandika hovyooo tuu na badoooo tuzo zishakuchuliwa mnye maboga
Heheeeee ndio ushangaeee wakome pia kushobokea wasaniii et kakutana nae kwenye ndege dai hajamchangamkia, ,utakuta hata hakumpigia kura
mbona tuzo zipo zote??team kiba at keyboard again...
mbona tuzo zipo zote??team kiba at keyboard again...
Tatizo ni kwamba... wale wale ambao wameonesha chuki ya wazi kwa Diamond au wasio mashabiki wa Diamond ambao kwao kila siku ni kumponda Diamond lakini ndio hao hao leo wanajifanya kumuhurumia Diamond... sasa wengine huu tunaona ni UNAFIKI! Na utakavyojua ni unafiki, thread inahusu tuzo za Diamond na hakuna hata mmoja kati yao anaongelea tuzo bali wanashupalia kwenye mapenzi ya Diamond na Zari... sasa kama sio unafiki tuite nini?And more interesting, wala hawaonekani kwamba wanatoa ushauri bali wamefura kwa hasira na kisirani kwa sababu eti Diamond anatembea na bibi kizee! What hypocrisy!
Kwahiyo sie wengine hapa si kwamba tunamtetea Diamond bali tunawachana WANAFIKI!
hahahahaaa... kama ugonjwa wa moyo na presha ni vitu viwili tofauti basi lile jukwaa sio la presha bali ni la ugonjwa wa moyo!!!Mkuu nimekupata vizuri, hata kule jukwaa la presha nakusoma kwa umakini sana.!
Aisee dadangu wewe una maneno!!!! Nimemsikia Masoud Kipanya akizungumzia habari za kuchimba visima, nimeshamshtukia kwamba analipgia mahesabu jimbo langu kwahiyo next week natimba huko huko... kwahiyo ukisikia Kim nana, njoo... fanya fasta!Hao kina Betty Mkwasa wanataka kusafiria nyota ya Dai tuu...siku zote alikuwa wapi kulalamikaaa?
Halafu akiwatifua kweli pipo zinalalamikaaa....mwenzao Zari kaleta shobo kwenye ndege...yani hata kabla hakujakucha Dogo kafanya yakeee....shauri zaooo....