Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Atasahauje tenAa wazitume harakaaa nasema mfyuuuu
 
Nanukuu kutoka kwa Mboni Mhita " Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South
Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa
shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa
bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo
pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa
stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka
nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao
kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe
kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba
ujirekebishe mdogo wangu."
 
Na hii kutoka kwa Mheshimiwa Betty Mkwasa " hahahahahaha!! yalinikutaga hayo Nairobi mpaka
aliposhtuliwa na meneja wake ndo akanichangamkia mpaka
akavua na kofia yake kwa nidhamu ya hali ya juu!!"
 
Anatafuta Kiki tu huyo nae....badala afanye maendeleo mkoani kwake anataka kukimbizana na wasanii....

Kwanza nlikuwa nshamsahau kama yupo....
 
Nanukuu kutoka kwa Mboni Mhita " Nimetua Salama. Leo nikiwa kwenye ndege kutokea South
Africa niligundua nimekaa na Diamond Platinum. Kwa
shangwe na furaha na utaifa wangu nikamsalimia kwa
bashasha nikiwa na lengo la kumpongeza. Jamani hiyo
pozi aliyonifanyia. Je ucheshi wako mdogo wangu ni wa
stage tu au? Bali sikuacha hivyo hivyo wakati wa kushuka
nikamwambia mwenzie, kuwa wamfundishe mwenzao
kuongea na mashabiki. Jibu lake..."Dada msamehe
kakasirika maana kasahau tuzo South". Naomba
ujirekebishe mdogo wangu."

Alikua amechokaa akome kukenulia msaniii alitaka amfanyejeee
 
Na hii kutoka kwa Mheshimiwa Betty Mkwasa " hahahahahaha!! yalinikutaga hayo Nairobi mpaka
aliposhtuliwa na meneja wake ndo akanichangamkia mpaka
akavua na kofia yake kwa nidhamu ya hali ya juu!!"

Rangi za kila aina mmeziona mpaka mnaandika hovyooo tuu na badoooo tuzo zishakuchuliwa mnye maboga
 
Bwana mbona picha imewekwa kule kabeba zote tatu....haters washaanza kuwewesekaa....

Heheeeee ndio ushangaeee wakome pia kushobokea wasaniii et kakutana nae kwenye ndege dai hajamchangamkia, ,utakuta hata hakumpigia kura
 
Kim nana Dinazarde Hawa hata picha sihitaji wawekea....
Bila shaka washaharisha kwa mdomo maana ndimu toka majuzi zimeisha hapa mjini...

Wako kwenye hatua za kunya fenesi naona tayari washakunya boga
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa eti ukute hata kura hawajapiga....heheheee....povu tuuuu....
 
Kim nana Dinazarde Hawa hata picha sihitaji wawekea....
Bila shaka washaharisha kwa mdomo maana ndimu toka majuzi zimeisha hapa mjini...

Wako kwenye hatua za kunya fenesi naona tayari washakunya boga

Wanuse kwapa basi kichefu chefu kikate ....wanahahajeeee.....
 
Last edited by a moderator:
mbona tuzo zipo zote??team kiba at keyboard again...

Hao kina Betty Mkwasa wanataka kusafiria nyota ya Dai tuu...siku zote alikuwa wapi kulalamikaaa?

Halafu akiwatifua kweli pipo zinalalamikaaa....mwenzao Zari kaleta shobo kwenye ndege...yani hata kabla hakujakucha Dogo kafanya yakeee....shauri zaooo....
 
Tatizo ni kwamba... wale wale ambao wameonesha chuki ya wazi kwa Diamond au wasio mashabiki wa Diamond ambao kwao kila siku ni kumponda Diamond lakini ndio hao hao leo wanajifanya kumuhurumia Diamond... sasa wengine huu tunaona ni UNAFIKI! Na utakavyojua ni unafiki, thread inahusu tuzo za Diamond na hakuna hata mmoja kati yao anaongelea tuzo bali wanashupalia kwenye mapenzi ya Diamond na Zari... sasa kama sio unafiki tuite nini?And more interesting, wala hawaonekani kwamba wanatoa ushauri bali wamefura kwa hasira na kisirani kwa sababu eti Diamond anatembea na bibi kizee! What hypocrisy!

Kwahiyo sie wengine hapa si kwamba tunamtetea Diamond bali tunawachana WANAFIKI!

Mkuu nimekupata vizuri, hata kule jukwaa la presha nakusoma kwa umakini sana.!
 
hahahahaaa... kama ugonjwa wa moyo na presha ni vitu viwili tofauti basi lile jukwaa sio la presha bali ni la ugonjwa wa moyo!!!
 
Kha!watu washamba sijapata ona,kisa nimecomment tu hapa eti picha ziwekwe...za nini?ili nione kipi cha ajabu?huyo ndomo kapita hapa migo...ningetaka kumuona ningeenda labda hizo picha wawekewe washamba wa mikoani huko sio mimi niliyeko mjini kila kitu kipo mbele macho yangu.
 
Hao kina Betty Mkwasa wanataka kusafiria nyota ya Dai tuu...siku zote alikuwa wapi kulalamikaaa?

Halafu akiwatifua kweli pipo zinalalamikaaa....mwenzao Zari kaleta shobo kwenye ndege...yani hata kabla hakujakucha Dogo kafanya yakeee....shauri zaooo....
Aisee dadangu wewe una maneno!!!! Nimemsikia Masoud Kipanya akizungumzia habari za kuchimba visima, nimeshamshtukia kwamba analipgia mahesabu jimbo langu kwahiyo next week natimba huko huko... kwahiyo ukisikia Kim nana, njoo... fanya fasta!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom