Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Alaf watu wengine wajinga kweli, uzalendo wa taifa? Aliyeshnda tuzo ni diamond na sio taifa! Eti kalitangaza taifa, guys tuna mlima Kilimanjaro, tuna Serengeti, tuna Ngorongoro.. Kwakifupi Tanzania inajitangaza haitaji kutangazwa na mtu!!
 
Wewe hujielewi, tafuta hela acha kupiga domo???
 

hahahahaaaaa am not diamond fan but umesema ukweli
 
kinachonishangaza Tz utasikia kalitangaza Taifa eeehe! kwa lipi haswa ...hao hao wakifulia mnaanza kuwatupia maneno kama mlivyomtupia maneno Hashim Thabeet
 
Ngoja mi nikae niangalie picha linaendaje nahis ule mtaa wa vumbi wote utahamia hapa maana co mchezo watu wamefura wamekuja na speed ya turbo
 
Ngoja mi nikae niangalie picha linaendaje nahis ule mtaa wa vumbi wote utahamia hapa maana co mchezo watu wamefura wamekuja na speed ya turbo

Kaka,ni vema kuacha uchokoz wa kitata!!Tukijibu unasema chuki!!Bora sie mtaa wa vumbi....
 
acha ujinga, kaleta sifa gani kwa Taifa? Tanzania inatangazwa hadi na kina Sunderland ya ligi kuu uingereza na watu hawashangazwi, sababu nchi inajulikana kwa Serengeti, Ngorongoro na Kilimanjaro.......
 

hahaha nice,aisee kuna watu ni zaidi ya mashabiki kwa kwel wao kwao kitu hata kama ni hasi watajumlishia na hasi zaidi ile kiwe chanya,hawa wamepita level ya shabiki mnazi mi naona hata nikiwaita mashabiki mbuyu bado cjawatendea haki
 
davido kwenye insta kaweka maandishi yanasomeka hivi"SOMEONE ELSE IS MUCH PROUD UP BY HAVING LESS THAN I HAVE",nahakumpongeza domo nayeye yupo team kiba?acha unafki,let kiba live his life free!

Weeeee ameshampongezaaaaa acha kupotoshaaaaa
 
Alaf watu wengine wajinga kweli, uzalendo wa taifa? Aliyeshnda tuzo ni diamond na sio taifa! Eti kalitangaza taifa, guys tuna mlima Kilimanjaro, tuna Serengeti, tuna Ngorongoro.. Kwakifupi Tanzania inajitangaza haitaji kutangazwa na mtu!!
Inaelekea hufahamu vizuri haya mambo! Ule Mlima Kilimanjaro hata ukisimama Tanga huwezi kuuona, je unadhani watu wa Ulaya, America, Asia na kadhalika wanauona Mlima Kilimanjaro kutokea huko huko waliko? The same applies to hivyo vivutio vingine ulivyotaja!

Sasa basi, hivyo vivutio ulivyotaja havijitangazi vyenyewe bali vinapaswa kutangazwa... kwa bahati kabisa, kutangaza vivutio vya nchi zinazojulikana duniani ni rahisi kuliko kutangaza vivutio kutoka kwenye nchi zisizofahamika duniani! WHY? Tuchukulie South Africa kwa mfano! Majority duniani wanafahamu kwamba kuna nchi inaitwa South Africa wasichofahamu ni nini kinapatikana South Africa! Hivyo basi, assume Mt. Kilimanjaro ipo South Africa... tangazo la la sekunde 15 CNN kwa maneno "Visit South Africa, the Land of Mount Kilimanjaro, The Highest Mountain in Africa with Ice cap...!" Hilo tangazo peke yake linatosha kumfanya mtu atembelee SA kwa ajili ya Mount Kilimanjaro kwavile tangu zamani alikuwa anafahamu kwamba kuna SA lakini alichokuwa hafahamu ni nini atakuta akija SA!

Kinyume chake, chukua tangazo hilo hilo na kuwa:""Visit Tanzania, the Land of Mount Kilimanjaro, The Highest Mountain in Africa with Ice cap...!" Swali litakalofuata kwa audience ni "where the hell is Tanzania?"

Sidhani kama pia ulikuwa ufahamu kwamba moja ya mambo yanayoitangaza nchi ni muziki! Majority duniani wanaifahamu Jamaica kwa ajili ya Reggae music hususani kipindi cha Bob! DRC inafahamika Afrika mzima kwa ajili ya muziki! Kwa kifupi, baadhi ya mambo yanayotangaza nchi ni sanaa na michezo na lazima wawepo watu wa kuifikisha hiyo sanaa na michezo kwenye dunia ya nje!

Kwahiyo, you're 100% very wrong kudhani eti Tanzania inajitangaza yenyewe!!!
 
Kwani lazima?

Hata kama hajisikii kumpongeza na anaona Domo kabebwa ajishaue tu kumpongeza?

Unataka kuendekeza unafiki kwa nini?

Waambiee hao Kiranga hawajui kutofautisha msalaba na jumlishaa
 
Last edited by a moderator:
davido kwenye insta kaweka maandishi yanasomeka hivi"SOMEONE ELSE IS MUCH PROUD UP BY HAVING LESS THAN I HAVE",nahakumpongeza domo nayeye yupo team kiba?acha unafki,let kiba live his life free!
Acha uongo wako... Post aliyompongeza Chibu ni nyingine na aliyosema hayo maneno ni nyingine. Unayozusha wewe kwamba baada ya hayo maneno hakumpongeza Diamond ni hii hapa:

Wakati aliyompongeza Diamond ni hii hapa!



Yaani siku hizi propaganda ambazo zamani tulizoea kuziona Jukwaa la Siasa, siku hizi zimehamia huku... aibu sana hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…