Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wakienda kumpokea Diamond ni mazuzu na wanapokusanyika kwenye mikutano ya majizi ya CCM na wapiga deal za meno ya tembo kama Kinana tuwaitaje? Huko Songea unakosema ni wapiga kazi na hawawezi kufanya ujinga kama huu, wangekuwa kama unavyotaka watu waamini wangekuwa wanajitokeza kwa maelefu kwenda kuwashangalia majizi na majangili ya CCM? Heri ya mazuzu wanaoenda kumpokea Diamond ambae anawapa faraja baada ya kuumizwa na majizi ya CCM na majangili ya CCM kuliko mazuzu yanayoenda kuwapigia vigelele majizi na majangli ya CCM yanayotufanya tuwe maskini....
View attachment 207553
View attachment 207554
Umeona enh... kwake yeye ma-genius ni wenzake anaoshinda nao jukwaa la siasa kutetea majizi.hahahahaaaaa am not diamond fan but umesema ukweli
Ngoja mi nikae niangalie picha linaendaje nahis ule mtaa wa vumbi wote utahamia hapa maana co mchezo watu wamefura wamekuja na speed ya turbo
Watu wakienda kumpokea Diamond ni mazuzu na wanapokusanyika kwenye mikutano ya majizi ya CCM na wapiga deal za meno ya tembo kama Kinana tuwaitaje? Huko Songea unakosema ni wapiga kazi na hawawezi kufanya ujinga kama huu, wangekuwa kama unavyotaka watu waamini wangekuwa wanajitokeza kwa maelefu kwenda kuwashangalia majizi na majangili ya CCM? Heri ya mazuzu wanaoenda kumpokea Diamond ambae anawapa faraja baada ya kuumizwa na majizi ya CCM na majangili ya CCM kuliko mazuzu yanayoenda kuwapigia vigelele majizi na majangli ya CCM yanayotufanya tuwe maskini....
View attachment 207553
View attachment 207554
davido kwenye insta kaweka maandishi yanasomeka hivi"SOMEONE ELSE IS MUCH PROUD UP BY HAVING LESS THAN I HAVE",nahakumpongeza domo nayeye yupo team kiba?acha unafki,let kiba live his life free!
Inaelekea hufahamu vizuri haya mambo! Ule Mlima Kilimanjaro hata ukisimama Tanga huwezi kuuona, je unadhani watu wa Ulaya, America, Asia na kadhalika wanauona Mlima Kilimanjaro kutokea huko huko waliko? The same applies to hivyo vivutio vingine ulivyotaja!Alaf watu wengine wajinga kweli, uzalendo wa taifa? Aliyeshnda tuzo ni diamond na sio taifa! Eti kalitangaza taifa, guys tuna mlima Kilimanjaro, tuna Serengeti, tuna Ngorongoro.. Kwakifupi Tanzania inajitangaza haitaji kutangazwa na mtu!!
View attachment 207444hiyo hapo
Acha uongo wako... Post aliyompongeza Chibu ni nyingine na aliyosema hayo maneno ni nyingine. Unayozusha wewe kwamba baada ya hayo maneno hakumpongeza Diamond ni hii hapa:davido kwenye insta kaweka maandishi yanasomeka hivi"SOMEONE ELSE IS MUCH PROUD UP BY HAVING LESS THAN I HAVE",nahakumpongeza domo nayeye yupo team kiba?acha unafki,let kiba live his life free!

Acha uongo wako... Post aliyompongeza Chibu ni nyingine na aliyosema hayo maneno ni nyingine. Unayozusha wewe kwamba baada ya hayo maneno akampongeza Diamond ni hii hapa:
View attachment 207622
Wakati aliyompongeza Diamond ni hii hapa!
View attachment 207618View attachment 207618
Yaani siku hizi propaganda ambazo zamani tulizoea kuziona Jukwaa la Siasa, siku hizi zimehamia huku... aibu sana hii!
unajibu vzuri sana aisee