Wema alisema kamwacha diamond,ila diamond hakuweka wazi kwamba wameachana,leo aliyemwacha mwenzake ndo anaumia
Sitaki natakaa
Wakati akihongwa BMW na kupigwa nyapu anaona raha
Kumlinganisha Almasi na Ally ni sawa na kulinganisha Bahari na Mfereji
Kumlinganisha Almasi na Ally ni sawa na kulinganisha Bahari na Mfereji
Huyu zari ni mwarabu?
huku kwa mondi kashasanda inabidi aelekeze nguvu zake kushindana na kina barnaba
Usilazimishe maoni yako ndio uwe ukweli...
binadamu bwana yaan kuhongwa ahongwe yeye,kuacha aache yeye alafu kuumia aumie yeye
Ajirudishee tu