Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hapa ndipo mnapojigeuza vipofu ingali mna macho, mimi nasikiliza music ya aina nyingi kwanza kimsingi na kiuhalisia ni mpenzi wa dance hizi Bongo Fleva kwa sababu zimepewa airtime na hatimaye zimekubarika ndio maana tunazifuatilia na hata kwenye Bongo Fleva kwenyewe kwa miaka mingi nimeshiriki kwenye harakati za kina Sugu kuhakikisha hiphop inasimama.
Kama unadhani kuna mtu anamchukia Diamond unajidanganya mwenyewe My number remix ni nyimbo nzuri na hata video ni nzuri napenda kuisikiliza hata Ally Kiba anasikiliza nyimbo za Diamond lakini mtoto anapotembea na mama yake watu wenye akili timamu wataonya ila mashabiki maandazi ruksa kushabikia hata ujinga.
Diamond ni hard worker na Ally Kiba ni Talent na kwa mapenzi yangu namkubari Kiba pamoja na kwamba bado yuko chini ya manegement mbovu lakini ni free country.
Hhheeeee kwa hiyo zari analingana na mama Diamond??? Yaan 30 na kitu amekua mzee j.lo ana miaka mingi lakin anatembea na katoto kadogo,,we mwenyewe hapo unamtamani zari ile mbaya sema tu hujampata heheeeee