Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Hapa ndipo mnapojigeuza vipofu ingali mna macho, mimi nasikiliza music ya aina nyingi kwanza kimsingi na kiuhalisia ni mpenzi wa dance hizi Bongo Fleva kwa sababu zimepewa airtime na hatimaye zimekubarika ndio maana tunazifuatilia na hata kwenye Bongo Fleva kwenyewe kwa miaka mingi nimeshiriki kwenye harakati za kina Sugu kuhakikisha hiphop inasimama.

Kama unadhani kuna mtu anamchukia Diamond unajidanganya mwenyewe My number remix ni nyimbo nzuri na hata video ni nzuri napenda kuisikiliza hata Ally Kiba anasikiliza nyimbo za Diamond lakini mtoto anapotembea na mama yake watu wenye akili timamu wataonya ila mashabiki maandazi ruksa kushabikia hata ujinga.

Diamond ni hard worker na Ally Kiba ni Talent na kwa mapenzi yangu namkubari Kiba pamoja na kwamba bado yuko chini ya manegement mbovu lakini ni free country.

Hhheeeee kwa hiyo zari analingana na mama Diamond??? Yaan 30 na kitu amekua mzee j.lo ana miaka mingi lakin anatembea na katoto kadogo,,we mwenyewe hapo unamtamani zari ile mbaya sema tu hujampata heheeeee
 
Mambo ipo ukuuuu
Napita mie
 
Attachments

  • 1417458951090.jpg
    1417458951090.jpg
    51.7 KB · Views: 193
Hhheeeee kwa hiyo zari analingana na mama Diamond??? Yaan 30 na kitu amekua mzee j.lo ana miaka mingi lakin anatembea na katoto kadogo,,we mwenyewe hapo unamtamani zari ile mbaya sema tu hujampata heheeeee
Dinazarde Fanya japo tafiti acha kuongozwa na mhemuko a.k.a ukipenda chongo ukiite kengeza zari Hana 30.
 
Last edited by a moderator:
Si kila anayezaa anafaa kuitwa mzazi na si kila anayeitwa baba au mama ni mzazi. Mzazi ni sifa na hatua. Ili uwe nayo lazma utimize baadhi ya mambo. Wengi cku hzi ni baba na mama ila si wazazi.

unajua kutoa ushauri mzuri,ila nafikiri ungeanza kumshauri Wema sepetu kwanza aache kula nyunga...Hakuna anayeweza kumvumilia kwa hilo, Zari utamwonea tu
 
Hapa ndipo mnapojigeuza vipofu ingali mna macho, mimi nasikiliza music ya aina nyingi kwanza kimsingi na kiuhalisia ni mpenzi wa dance hizi Bongo Fleva kwa sababu zimepewa airtime na hatimaye zimekubarika ndio maana tunazifuatilia na hata kwenye Bongo Fleva kwenyewe kwa miaka mingi nimeshiriki kwenye harakati za kina Sugu kuhakikisha hiphop inasimama.

Kama unadhani kuna mtu anamchukia Diamond unajidanganya mwenyewe My number remix ni nyimbo nzuri na hata video ni nzuri napenda kuisikiliza hata Ally Kiba anasikiliza nyimbo za Diamond lakini mtoto anapotembea na mama yake watu wenye akili timamu wataonya ila mashabiki maandazi ruksa kushabikia hata ujinga.

Diamond ni hard worker na Ally Kiba ni Talent na kwa mapenzi yangu namkubari Kiba pamoja na kwamba bado yuko chini ya manegement mbovu lakini ni free country.

acha povu we muhaya.....tuzo tatu zishachukuliwa hauwezi ondoa hiyo katafute kazi ya kufanya.
 
unajua kutoa ushauri mzuri,ila nafikiri ungeanza kumshauri Wema sepetu kwanza aache kula nyunga...Hakuna anayeweza kumvumilia kwa hilo, Zari utamwonea tu

Wema bado anamingle ale dawa asile kivyake. Mbona rayc alikula sasa amejirudi? Uzuri hakuwa na mtoto anayemmentor kwa kifupi Wema hana cha kupoteza ila zariunsummit ana watoto tayari so angekuwa na adabu kulinda heshima ya watoto na kuwatengenezea muelekeo wenye maadili. We umri ule uso umemkomaa km lami hadi kumimina mifilter na 360 kwa kila picha alafu yuko busy kugombea mambwana umri wa wanae Instagram? Kweli? Eti nianze na Wema? Naanza na huyu alozaa kwanza asituharibie taifa la kesho. Hajakatazwa kufanya mapenzi ila kufanya kwa drama kwa umri wake wa 39 plus watoto wakubwa wa3 ni majanga. Lile bichwa kubwa limejaa kamasi na si akili.
Kwa domo ni Yale Yale mzaliwa wa uswazi kusiko na maadili ngono kwao ni Kama sifa hata atembee hadi na ane makinda ilimradi anatoa nyege. Tena mama yake anampa na sapoti wala si shida.
 
mbona king alishatembea na mama wa kuinua vipaji au ndo kuny.a any.e kuku aki.nya bata kaha.risha na wema ndo alimuacha diamond baada ya kumuulza kuhusu lile gari sasa diamond angefanyaje na ameshaachwa?hakuwa na jinsi zaid ya kuwa na demu mwingne wa kumpunguzia machungu.by the way ukila nguruwe then kama dini hairuhusu ww chagua aliyenona
 
Heheeeeeeee na sio huyo tuu,,utashangaa watakuambia madam Ritha under 18 ,,wema kamuacha Daimond lakin bado anaumia na wafuasi wake hivii huyu Daimond aliandikiwa kua wema ty ndio mwanamke maishan mwake mbona hawang'ang'anii ck awe nae,au hao vibabu wake
 
Diva Beyonce mbona hutii neno unalike tuu?

Ha ha ha kuna watu wagumu sana kuelewa humu ata uwafanyeje mtu anasifia kitu kisicho Sawa basi tu kwa kuongozwa na hisia asimamii uhalisia huwezi ukawa unampenda mtu humshauri humshauri penye ukweli unasifia tu si shiider hiyo kijana mdogo anaenda kubeba mtu aliyeshindana kisa kiki asifiwe kidume ndo sifa ati
 
Last edited by a moderator:
Basi nimependa mpaka nikapilitiza hhhhhaaaaa ila zari mzuri japo mkubwa

Sijaona la zaidi sana sana ni filter mbona picha za juzi bila filter alitoka mkomavu kama zege mashavuni? Pingili kama dawa.....ni wa kawaida ila chuki binafsi zako kwa wema ndo zinakupofua. Angalia manake chuki zikizidi unaweza kuumwa usijue ugonjwa kumbe ni chuki....

Nyie subirini soon mtafurahi na mtatawanyika humu wala sisemi ni nini.
 
Wema mzuri lakini alijiharibu kujikoboaa
Humu hatawanyiki mtuu tuna roho ngumuu
 
Toka kutukanwa amezamia harusi ya mapacha mpaka kuombwa kolabo na wapopo.Kijana mbishiii,hekoo dimond.
 
Tatizo wengi hawajui kuwa Diamond yupo kibiashara zaidi kuliko mpenzi.

Kuwa na Zari yupo kujitangaza zaidi Uganda kuliko mapenzi, wakati watu wanapiga domo kuwa Zari kazeeka lakini Dongote anajua anachokifanya.

Big up Dongote ukimaliza na Zari ukamlete Yemi Alade kwa project zaidi.
 
Back
Top Bottom