Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

una jua nini zai tuseme tu ukweli licha ya uzuri alio nao zari but ki ukweli yule dada kaenda sana age hastahili kua demu wa diamond ...hata ninge kua mimi nisinge acha kumchapa demu kama yule but kuweka kambi pale ingekua ngumu ni hit and run ndicho alicho takiwa kufanya chibu.
Tatizo ni kwamba... wale wale ambao wameonesha chuki ya wazi kwa Diamond au wasio mashabiki wa Diamond ambao kwao kila siku ni kumponda Diamond lakini ndio hao hao leo wanajifanya kumuhurumia Diamond... sasa wengine huu tunaona ni UNAFIKI! Na utakavyojua ni unafiki, thread inahusu tuzo za Diamond na hakuna hata mmoja kati yao anaongelea tuzo bali wanashupalia kwenye mapenzi ya Diamond na Zari... sasa kama sio unafiki tuite nini?And more interesting, wala hawaonekani kwamba wanatoa ushauri bali wamefura kwa hasira na kisirani kwa sababu eti Diamond anatembea na bibi kizee! What hypocrisy!

Kwahiyo sie wengine hapa si kwamba tunamtetea Diamond bali tunawachana WANAFIKI!
 
Ha ha ha i like it.
 
nimeipenda!
 
Bhana eeeeeh, nini 30 hata kama ni 55 ndo keshaamua, asiyetaka akanye boga kwa sababu haya ni maisha binafsi ya Chibu na hakuna mwenye haki ya kuyaingilia hususani hawa wapiga kelele wa kwenye mitandao!

Wengine wanapondaaa tu watuonyeshe mademu zaoo kama hatujacheka kwa kuzimiaaaa humu
 
Huu ndio ushabiki unaotakiwa. Watu wajadili kazi na sio maisha binafsi ya watu. IKiwa Chibu ameamua kuwa na bibi kizee, ni yeye na ni maisha yake. Ushauri sawa, lakini sio mtu unawaka mapovu yanamwagika as if una ubia na maisha yake. Haya mambo ya kuingilia maisha binafsi ya watu ndio yalifanya hadi mapenzi ya Diamond na Wema yaingie kwenye mtihani. Team Wema walikuja juu na Bring Back Our Wema... Wema wao wamempata lakini wao ndio wa kwanza kuingilia maisha binafsi ya Chibu... wapi na wapi!

Binafsi napenda kazi za watu. Namkubali zaidi Diamond kuliko Kiba lakini sina chuki na Kiba na ninasikiliza kazi zake kama kawaida na ikitokea show yake natimba kama kawa.
Nimekupata mkuu!!Nadhani una akili kama yangu namkubali sana Kiba,ingawa dai for nw yupo juu sina chuki naye na ngoma zake na video zake nagonga kama kawa ila Kiba kaniteka!!Maisha yake binafsi hatupaswi kuyaingilia anatoka na nani na imekuwaje its his choice!!Wao wanasema its project sisi tunasema zaidi,ata kama ni kweli wanagongana kwa raha zake,tatizo team Wema wanaleta mahaba ya Wema na kusympathise pamoja naye,yule yupo huru jamani!
 
Chige mkuu umenishangaza sana!Kumbe hapa ni kuwachamba mashabiki wa Kiba!Inakupaswa uelewe kuwa shabiki wa KIBA sio kumchukuia mwingine yeyote!!Chuki inakuja pale mashabiki wa Dai mnapoanza kuattack shabiki wa Kiba personally kwa maneno ya chuki,hasira na dharau!!Unategemea hawatajibu mapigo?So kumbe hata mkitoka nje ya special thread mnawaona kama maadui!Sidhani kama ushabiki unapaswa kuwa wa chuki na hisia kali kiasi iko!Ivi unajua Kiba na Dai wala hawachukiani personally kama mnavochukulia nyie!Kwa taarifa yako Kiba anasikiliza hadi ngoma za Dai wala sio ajabu!Ni sawa na kufikiri Drake hasikizi ngoma Za Chris brown!Huo mwingine utoto a
 
Hata kama mie sio mpenzi wa Dai nikijisikia kuchangia uzi unaomhusu sehemu yeyote nichangia!Hamna mwenye hati miliki naye mlishawahi kujisemea!Na nitatoa mawazo yangu huru,kama wewe una chuki na mie personally kisa namfagilia Kiba hiyo hainihusu!!After all hawa wote wasanii wetu nadhani vita zibaki kule kwenye thread zetu!!Nikitoka kule popote nikikukuta Dina najifanya kama hatujawahi kugongana ndo ukomavu!!Haa ushabiki tu mshindwe kusalimiana barabarani...what a shame!!
 
Kama hivi etiiii......mambooo
 
Very sexy and beautiful...
 
Huwezi kunikuta namponda mtu eti kwa sababu anampenda Kiba wakati hayo ni mapenzi yake yeye na yake katu hayawezi kuwa yangu na yangu hayawezi kuwa yake! Hata ukifuatilia post zangu hapa utakuta nawa-dis wale ambao wamefura kisa Diamond yupo na Zari... hapa wanataka kujionesha kwamba wana-feel very sorry for Diamond wakati wengi wao ni ama mashabiki wa Kiba au Wema ambao siku zote wanamponda! Sasa inashangaza, wale wale ambao mara zote wamekuwa wakimponda kwa kumpa majina ya kila aina leo wanabadilika na kujifanya ku-feel very sorry na ndio maana kwangu naona ni unafiki!!

Tukija suala la ku-attack, mie always msimamo wangu upo wazi na siuonei aibu kuusema! Lakini ilitokea si mara moja wala mara mbili; pale unapoelezea kuhusu nani unamkubali, wengine hiyo wanachukulia kana kwamba unamponda mtu wao... na nimeshawahi kutukanwa sana hapa lakini katika kutukanwa huko haikupata kutokea kusema kwamba Kiba si lolote si chochote ila tu kwavile unamsifia hasimu wa Kiba; hadi ikafikia siku nikasema (sorry kwa wana-UKAWA) sasa hawa mashabiki wa Kiba wanakoelekea watakuwa kama mashabiki wa UKAWA walio jukwaa la siasa!! Mfano mzuri tu, jana Baba Levo kapokea mvua ya matusi kweli kweli kwa sababu tu kaongea mambo ambayo mashabiki wa Kiba wanaona ni kama amem-dis Kiba!! To be honest, kama Levo asingekuwa karibu na Kiba nami ningesema ni kweli kam-dis lakini Kiba na Baba Levo wote ni vijana wa Kigoma, na wote ni wanamzuki... watu wala hawafahamu Kiba na Baba Levo huwa wanawasiliana vipi au matani yao yanavuka vipi. Kinyume chake, mtu ambae hata Kiba anamuona kwa mbali leo hii anataka kujifanya anamfahamu na kumpenda sana Kiba kuliko ilivyo kwa Baba Levo!!

Unfortunately, kutokana na huu ujinga ujinga tukajikuta wengi wetu tunakuwa caught off-guard... kwamba, kwavile ukimsifia fulani hata kama huna ugomvi na mwingine basi wale wengine wanakuona adui, basi unaamua ku-side na wale ambao angalau kwa namna moja au nyingine mna-share some common interests. I hate to say this, but let's call a spade a spade. Mashabiki wa Kiba wapo too insecure! Siku Diamond kasema yupo tayari kumsaidia Kiba watu wacha waje juu... lakini Kiba huyo huyo aliwahi kusema yeye ndie alim-release Diamond lakini watu yote hayo tunaona ya kawaida!! Kuna siku Misago kamuuliza Sheta ikiwa anampango wa kufanya kazi na Kiba Shetta akasema hana mpango huo,sio tu ni KIba bali na msanii yeyote wa Tanzania kwa sasa lakini cha ajabu mashabiki wa Kiba wakaja juu... mtu unakaaa unajiuliza sasa hapa watu wanakasirika nini, unashindwa kupata jibu!!!

Kuhusu Diamond and Kiba, hapa nimeshawahi kusema kwamba mashabiki ndio wanakuza "bifu" la Diamond na Kiba na nikasema wazi kwamba, ndugu wakigombana chukua jembe ukalime... Diamond na Kiba wote wanatoka KGM na kwa tabia za Kiafrika ili mradi wanatoka sehemu moja basi tutawachukulia kama ndugu. And to be honest, kama kuna misunderstanding yoyote between the guys, it's about to be resolved na ikaja kuharibika siku ya Fiesta!
 
Hata kama mie sio mpenzi wa Dai nikijisikia kuchangia uzi unaomhusu sehemu yeyote nichangia!Hamna mwenye hati miliki naye mlishawahi kujisemea!Na nitatoa mawazo yangu huru,kama wewe una chuki na mie personally kisa namfagilia Kiba hiyo hainihusu!!After all hawa wote wasanii wetu nadhani vita zibaki kule kwenye thread zetu!!Nikitoka kule popote nikikukuta Dina najifanya kama hatujawahi kugongana ndo ukomavu!!Haa ushabiki tu mshindwe kusalimiana barabarani...what a shame!!
Mnh! Na wewe sema tu kwamba hapa ulikuwa na hamu ya kutapika nyongo manake nimefuatilia hii thread nione uliposemangwa wewe binafsi au msimamo wako wala sijapaona!! Labda kwa kukumbushana tu mie nimewapa makavu wale wanaojifanya ku-feel very sorry kwa Diamond wakati kila siku wanampa mashuti... kwa ninavyofahamu mimi, wewe haumo kwenye hilo kundi! Aidha nikasema wazi kwamba, utakavyojua ni unafiki, thread inahusu tuzo za Diamond lakini watu wamefura kwa hasira na kisirani kuhusu uhusiano wa Diamond na Zari... kwa mara nyingine, wewe wala sikuoni kwenye hilo kundi lakini dah... naona kama ume-mind hivi, au mawazo yangu tu?
 
Hatimaye yule Mwanamuziki nguli Wa style ya Ngololo awasili leo mchana hapa Tanzania.Diamond Platinumz ameingia na Shirika la Ndege la Afrika Kusini,flight number SA 186 yenye usajili ZS-SZB akitokea uwanja wa Oliver Tambo Afrika Kusini.

Katika hali iliyowakwaza watu wengi, Watanzania waishio Afrika Kusini waliofika Oliver Tambo kumpa shangwe Diamond,ni kitendo cha Diamond "kuwapotezea" waliomlaki kwa shangwe.Diamond aliwakwepa Watanzania waliokosa nafasi kuingia siku ya tuzo na hivyo kumsubili Oliver Tambo International Airport wakati Wa kuondoka.

Hali hiyo imetokea pia ndani ya ndege ambapo baadhi ya Watanzania wakiokuwa naye walimtambuaa,kwa kutaka kumpa "shangwe" ya pongezi Diamond akaleta pozi..kitendo kilichowakwaza mpaka kuwaaambia wakiokuwa naye ambao walimtetea Diamond kuwa hayupo kwenye furaha baada ya kugundua kuwa akiwa njiani kwenda Airport alisahau Tuzo zake Hotelini.

Kitendo hicho ndio kilimkosesha raha mpaka kuwa katika hali ya kutotaka kuongea na mtu yoyote na kuwakwepa mashabiki waliokuwa wakimngoja OL International Airport.
 
He?ya ukweli haya jamani?iweje mtu asahau kitu cha muhimu kama tuzo (hasa msanii?)
Au ni drama nyingine hizi?
 
Back
Top Bottom