Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo.

==============================================

Diamond Platinumz yesterday he refused to perform at the furaha festival just because Willy Poze was scheduled to perform before him leaving his Kenyan fans in disbelief.

It also emerged that Willy Poze had lots of fans in the concert than Diamond.Willy Poze's fans wanted Willy Poze over Diamond.Diamond got angry and walked away.

 
Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo.View attachment 3171895
Sasa yeye kuanza na kutoanza inamuathiri nini wakati yeye ni Msanii Mkubwa mwenye Influence?

Au kulikuwa na mashindano Ya kura hapo?
 
Sasa yeye kuanza na kutoanza inamuathiri nini wakati yeye ni Msanii Mkubwa mwenye Influence?

Au kulikuwa na mashindano Ya kura hapo?
Diamond alikuwa anafata makubaliano ya muda wa kupanda jukwaani haijalishi nani kapangiwa kupanda muda huo sababu ana ratiba nyingi na kila muda wake watu wameulipia mamilioni ya pesa.

Kwa hiyo muda wake wa kutumbuiza ulipofika ukaingiliana na muda wa huyo underground wa Kenya, so ilibidi muandaaji achague diamond apande jukwaani au aondoke aendelee na ratiba nyingine sababu baada ya show alikuwa anasubiriwa na ndege kwa ajili ya kuenlekea Paris kwenye ratiba nyingine.

Hizo propaganda za wakenya kuwa alitaka kupafomu kabla ya huyo artist sababu atafunikwa ni propaganda zilizofeli kama walivyoandaa watu wamzomee lakini hakuonrkana stejini
 
Mnapenda kujipa thamani ambayo haipo
 
Hiyo ndege iliyokuwa inamsubiri alikuwa amekodi impeleka Paris?
 
Waafrika wanapenda kuleta mchezo mchezo kwenye mambo ya kazi. Jambo lolote usipozingatia muda lazima liharibike, walichofanya wakenya ni ukiukaji wa makubaliano na madharau. In short pesa waliyolipa imeenda kama wanabisha waongee na mwanasheria
 
Shida watu weuse hawafuati makubaliano, tumekubaliana muda flan diamond anapanda, mda umefika mnaanza ooh sjui mashabiki wanamtaka willy kwanza.

Hapo jamaa hana kesi

Waafrika na muda hatuwezi kuwa kwenye sentesi moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…