Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

Waafrika wanapenda kuleta mchezo mchezo kwenye mambo ya kazi. Jambo lolote usipozingatia muda lazima liharibike, walichofanya wakenya ni ukiukaji wa makubaliano na madharau. In short pesa waliyolipa imeenda kama wanabisha waongee na mwanasheria
Wasanii wa Kenya wanaumia sana kuona tunatawala muziki wao na wanahisi Diamond ndio anatupa jeuri hiyo so wanamchukia sana wanajaribu kueneza hiyo chuki kwa washabiki.
 
Wasanii wa Kenya wanaumia sana kuona tunatawala muziki wao na wanahisi Diamond ndio anatupa jeuri hiyo so wanamchukia sana wanajaribu kueneza hiyo chuki kwa washabiki.

Wanamuziki wa Tanzania wameanza kuuza kazi zao Kenya kabla sisi hatujazaliwa. Tangu miaka ya 60, 70 na 80 wanamuziki wa Tanzania na Kongo ndio walikuwa wanapiga muziki Kenya. Ukifuatilia historia ya wanamuziki wetu wa dansi kama wakina Kalala, Choki, Mwinjuma na wengineo wengi walifanyakazi Kenya.

Sio Diamond tu, Tanzania inatajwa ni moja ya nchi yenye best guitarists wengi in the continent.
Tanzania imejaliwa kuwa na wacheza vyombo vya muziki wengi sana kuliko Kenya na nchi nyingine nyingi za Afrika.
Kwahiyo wakenya wanatakiwa kupiga muziki waache majungu.
 
Yes les wanyika ni watanzania kwa asili so sisi tuna damu ya muziki, hata mbaraka enzi zake aliitawala kenya
 
Yes les wanyika ni watanzania kwa asili so sisi tuna damu ya muziki, hata mbaraka enzi zake aliitawala kenya

Hawawezi kushindana na waTZ kwasababu Bongo kila siku kuna ngoma inatolewa halafu ni moto.
Yaani ukiingia youtube muda hautoshi, kuna madogo wana kikwaju ya maana hao wakina Willy Paul wakasome.
 
Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo.

==============================================

Diamond Platinumz yesterday he refused to perform at the furaha festival just because Willy Poze was scheduled to perform before him leaving his Kenyan fans in disbelief.

It also emerged that Willy Poze had lots of fans in the concert than Diamond.Willy Poze's fans wanted Willy Poze over Diamond.Diamond got angry and walked away.

Mbona kwa kimombo iko tofauti na unachoeleza kwa kiswahili?
 
Diamond ni kati ya watu wenye roho mbaya sana, hata kama kakuzidi kila kitu.
Ukute hujawahi hata kumuona kwa mbali, Lakin unajifanya unamjua mnoo! Kama roho mbaya ndio kuwainua wasanii wengine kwa kuwatambulisha basi acha iwe hivyo tu
 
Back
Top Bottom