Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

Hiyo ndege iliyokuwa inamsubiri alikuwa amekodi impeleka Paris?
Ndege kama ni ya kukodi, ndege zina ratiba zake. Ukikosa ndege moja utachelewa inayofuata kwa hiyo unaharibu mlolongo mzima wa safari.
 
Diamond ni msanii expensive ndio wakenya wakitaka kujaza shows zao wanaita Diamond. Thamani yake ipo juu sana uliza mtu yoyote anaefanya biashara ya burudani atakueleza Diamond ni mkubwa kaisi gani
Ndio ukweli wenyewe. Walimuita wa nini? Wakenya huwa na bifu na Tanzania, kwa hiyo wanataka kumshusha Diamond. Kwanza wana mziki gani wakenya?
 
Back
Top Bottom