sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Diamond ni msanii expensive ndio wakenya wakitaka kujaza shows zao wanaita Diamond. Thamani yake ipo juu sana uliza mtu yoyote anaefanya biashara ya burudani atakueleza Diamond ni mkubwa kaisi ganiMnapenda kujipa thamani ambayo haipo
Itakusaidia nini?Hiyo ndege iliyokuwa inamsubiri alikuwa amekodi impeleka Paris?
Wasanii wa Kenya wanaumia sana kuona tunatawala muziki wao na wanahisi Diamond ndio anatupa jeuri hiyo so wanamchukia sana wanajaribu kueneza hiyo chuki kwa washabiki.Waafrika wanapenda kuleta mchezo mchezo kwenye mambo ya kazi. Jambo lolote usipozingatia muda lazima liharibike, walichofanya wakenya ni ukiukaji wa makubaliano na madharau. In short pesa waliyolipa imeenda kama wanabisha waongee na mwanasheria
Wasanii wa Kenya wanaumia sana kuona tunatawala muziki wao na wanahisi Diamond ndio anatupa jeuri hiyo so wanamchukia sana wanajaribu kueneza hiyo chuki kwa washabiki.
ChaiDiamond ni kati ya watu wenye roho mbaya sana, hata kama kakuzidi kila kitu.
Rangi au maziwa?Chai
Yes les wanyika ni watanzania kwa asili so sisi tuna damu ya muziki, hata mbaraka enzi zake aliitawala kenyaWanamuziki wa Tanzania wameanza kuuza kazi zao Kenya kabla sisi hatujazaliwa. Tangu miaka ya 60, 70 na 80 wanamuziki wa Tanzania na Kongo ndio walikuwa wanapiga muziki Kenya. Ukifuatilia historia ya wanamuziki wetu wa dansi kama wakina Kalala, Choki, Mwinjuma na wengineo wengi walifanyakazi Kenya.
Sio Diamond tu, Tanzania inatajwa ni moja ya nchi yenye best guitarists wengi in the continent.
Tanzania imejaliwa kuwa na wacheza vyombo vya muziki wengi sana kuliko Kenya na nchi nyingine nyingi za Afrika.
Kwahiyo wakenya wanatakiwa kupiga muziki waache majungu.
Yes les wanyika ni watanzania kwa asili so sisi tuna damu ya muziki, hata mbaraka enzi zake aliitawala kenya
Punguza roho mbaya ukweli ni kwamba Diamond anathamani kubwa mno kuliko mwigulu nchemba na doto bitekuMnapenda kujipa thamani ambayo haipo
Mbona kwa kimombo iko tofauti na unachoeleza kwa kiswahili?Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo.
==============================================
Diamond Platinumz yesterday he refused to perform at the furaha festival just because Willy Poze was scheduled to perform before him leaving his Kenyan fans in disbelief.
It also emerged that Willy Poze had lots of fans in the concert than Diamond.Willy Poze's fans wanted Willy Poze over Diamond.Diamond got angry and walked away.
Ukute hujawahi hata kumuona kwa mbali, Lakin unajifanya unamjua mnoo! Kama roho mbaya ndio kuwainua wasanii wengine kwa kuwatambulisha basi acha iwe hivyo tuDiamond ni kati ya watu wenye roho mbaya sana, hata kama kakuzidi kila kitu.
Bibi wa Pdidy ana maringo sana.!
Sawa, unateseka ukiwa wapi?Hii statement inaonyesha your level of IQ.
Sawa, unateseka ukiwa wapi?
Na wewe bibi ya pdidy?
You deserve a special “Qmanyoko” 🖕🏿😹😹Unafikiri watu wote tunateseka kama wewe? Umbwa hii