Nashengena JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,913 Reaction score 5,318 Dec 9, 2024 #41 COPPER said: Hiyo ndege iliyokuwa inamsubiri alikuwa amekodi impeleka Paris? Click to expand... Ndege kama ni ya kukodi, ndege zina ratiba zake. Ukikosa ndege moja utachelewa inayofuata kwa hiyo unaharibu mlolongo mzima wa safari.
COPPER said: Hiyo ndege iliyokuwa inamsubiri alikuwa amekodi impeleka Paris? Click to expand... Ndege kama ni ya kukodi, ndege zina ratiba zake. Ukikosa ndege moja utachelewa inayofuata kwa hiyo unaharibu mlolongo mzima wa safari.
Nashengena JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,913 Reaction score 5,318 Dec 9, 2024 #42 sinza pazuri said: Diamond ni msanii expensive ndio wakenya wakitaka kujaza shows zao wanaita Diamond. Thamani yake ipo juu sana uliza mtu yoyote anaefanya biashara ya burudani atakueleza Diamond ni mkubwa kaisi gani Click to expand... Ndio ukweli wenyewe. Walimuita wa nini? Wakenya huwa na bifu na Tanzania, kwa hiyo wanataka kumshusha Diamond. Kwanza wana mziki gani wakenya?
sinza pazuri said: Diamond ni msanii expensive ndio wakenya wakitaka kujaza shows zao wanaita Diamond. Thamani yake ipo juu sana uliza mtu yoyote anaefanya biashara ya burudani atakueleza Diamond ni mkubwa kaisi gani Click to expand... Ndio ukweli wenyewe. Walimuita wa nini? Wakenya huwa na bifu na Tanzania, kwa hiyo wanataka kumshusha Diamond. Kwanza wana mziki gani wakenya?