Diamond apata mapokezi makubwa Mombasa leo

Basi wekeni za huo umati tuone.

Tanzania1 anasema we (including you Nifah)

A lot of craap u can read ya self siwezi kuweka comment zote hapa.
 

Attachments

  • 1418321351034.jpg
    42.4 KB · Views: 520
Tanzania1 anasema we (including you Nifah)

A lot of craap u can read ya self siwezi kuweka comment zote hapa.

Tanzania 1 katisha meen,bora huyo anaongea point sio hao wajinga wanaotukana.
 
Mr Nice in Kigali.

Mie sie muumini wa hizi mambo za team team,,,penye ukweli tuseme tu hata kama inauma lakin haina jinsi ndio itabaki hivyo DIAMOND kwass ni habari nyingine. Maana sidhani kuna msanii mwingine Tanzania anaweza kupokewa hivyo akiwa nje. Kwa hapa sitoshangaa hata Ali Kiba akipokewa biharamuro au Ileje lakin sio hata Uganda maana hata promoter atakula hasara watatumbuiza viti tu
 
Sikujua kama leo ni birthday ya Diamond..............Asante sana kwa taarifa :sad::sad::becky::becky::becky:
 
mashabiki wa osama bin domoladen wamemu unfollow dogo la 92 davido.bt wanapata tabu kuangalia page yake kaandka nin kila siku.
 
Tanzania 1 katisha meen,bora huyo anaongea point sio hao wajinga wanaotukana.

Point ipi labda kwa mfano?

Unaelewa kwa usahihi alichopost Davido?

Post inahusu kumtakia heri ya kuzaliwa BIG BROTHER WAKE halafu ushuzi kunuka wanaleta ta shobo kwenye personal wishes za mtu huu ni ustaarabu wa wapi?

Hata tukisema tubadiri topic kuhusu uchumi Nigeria inashindana na South Africa tu kwa Africa.

Sisi tukitaka mashindano hayo size yetu ni COMORO, SHELISHELI, MALAWI na BURUNDI. RWANDA INAPAA.
 
Msafala wa Diamond kutoka airport kwenda hotelini hapo Davido ajiandae kupigwa dongo.
 

Attachments

  • 1418335758383.jpg
    56.7 KB · Views: 363
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…