Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
watu wa kaskazini tunaruhusiwa kumpigia kura? maaana alitukandia sana......
Kama diamond tu yaani jeuri ndio inayomponza huyu mtandale wangu lakini kwa tz hakunaga tena kama yeye, si eti eeeeh!!???
Kuwa nominated katika wasanii wote wa Africa ni ushindi tosha pia
Endelea kujipa moyo.
Naona kwako nomination, na winning ni kitu kimoja.Haya basi wote hapo ni washindi.
pitia page ya davido uone alivyochekelea nomination ilivotoka tu jana kapost...
unavoona wakina casper, wzkid, ko, wanashndanishwa ujuwe waliopita kwa mchujo wa kamati ni hatariiiiiiiiii, ukiwa lofa huwezi kuelewa hilo hata mtvbase wakuandikie barua page 800000000 yaenye hadi kilugha cha matombo hukoo
chibu ni noooooma!!!!!!!
Mimi ni Lofa.
Siwezi kuelewa.
Nahitaji chaki na ubao.
Chibu noma ee, kakusimulia Zarina au umejua mwenyewe tu!!
Oyoooooo, chibu anatisha sana Mtv wamenyooka zamu ya Ulaya sahv
Tukutane Milan, Italia siku ya utoaji tuzo...
Unaniacha hoi hapo unapompa huyo bwana wenu hadhi ya 'usupremacy!!'
So yeye ananyoosha kila kitu hadi mtv??
Ni mtu alotukuka! Akikwambia 'nyooka!, inama!' wewe jibu lako 'ewala!'.