Diamond apata nomination ya MTV Europe Awards kwa kishindo

Diamond apata nomination ya MTV Europe Awards kwa kishindo

watu wa kaskazini tunaruhusiwa kumpigia kura? maaana alitukandia sana......

Sasa unamuomba ruhusa mleta uzi au mode?? wewe angalia moyo wako au subiri hasira ziishe, kama ambavyo Shardcole alivyosema kwa sasa hampigii tena kiba kura mpaka hasira ziishe, this means baada ya uchaguzi anaendelea kumpa support kama kawa. Mahaba vepe?
 
Last edited by a moderator:
Diamond ataikosa hii tuzo pia.Asubiri nomination nyingine ya ALKIHITRI, DOMIS au FAhado
 
Wa TZ kila siku lawama atacheka na wangapi? Acheni roho za kwanini kama wewe hutaki nyamza 'lakini usihamasishe watu wengine wamchukiye fulani kwakuwa wewe humpendi hiyo ni laana inakuja kwa hii Tz ' hata angezipata atawaridhisha wangapi!je weww umewaridhisha watu wangapi? Riziki yatokana na allah mwenyewe!
 
Siwezi kumpigia kura yangu kada yeyote wa CCM. Na hii marabya pili anakosa kura yangu baada ya kukataa kumpigia ile tuzo iliyopita na akakosa. Nakiri mwanzo nlikuwa mpigaji kura wake mzuri sana. Nlikuwa napiga hata mara 20. Ila baada ya kuleta upuuzi wake na ccm sipigi na najua siko peke yangu. Akapewe tuzo na makufuli wake
 
Kuwa nominated katika wasanii wote wa Africa ni ushindi tosha pia

Endelea kujipa moyo.
Naona kwako nomination, na winning ni kitu kimoja.Haya basi wote hapo ni washindi.
 
Endelea kujipa moyo.
Naona kwako nomination, na winning ni kitu kimoja.Haya basi wote hapo ni washindi.

pitia page ya davido uone alivyochekelea nomination ilivotoka tu jana kapost...

unavoona wakina casper, wzkid, ko, wanashndanishwa ujuwe waliopita kwa mchujo wa kamati ni hatariiiiiiiiii, ukiwa lofa huwezi kuelewa hilo hata mtvbase wakuandikie barua page 800000000 yaenye hadi kilugha cha matombo hukoo

chibu ni noooooma!!!!!!!
 
Wiki tatu mfululizo Nana video ya kwanza Africa washaelewa lazima haters wanyooke sahv wanajitibu vidonda vya tumbo, uzi kama huu huwaoni kabisa na ukiwaona wanaleta habari za kufikirika utafikiri hata hiyo nomination wamempa wao...

lazima wanyooke, Diamond ndio mbabe Afrika nzima sahv
 
pitia page ya davido uone alivyochekelea nomination ilivotoka tu jana kapost...

unavoona wakina casper, wzkid, ko, wanashndanishwa ujuwe waliopita kwa mchujo wa kamati ni hatariiiiiiiiii, ukiwa lofa huwezi kuelewa hilo hata mtvbase wakuandikie barua page 800000000 yaenye hadi kilugha cha matombo hukoo

chibu ni noooooma!!!!!!!

Mimi ni Lofa.
Siwezi kuelewa.
Nahitaji chaki na ubao.
Chibu noma ee, kakusimulia Zarina au umejua mwenyewe tu!!
 
Mimi ni Lofa.
Siwezi kuelewa.
Nahitaji chaki na ubao.
Chibu noma ee, kakusimulia Zarina au umejua mwenyewe tu!!

Oyoooooo, chibu anatisha sana Mtv wamenyooka zamu ya Ulaya sahv

Tukutane Milan, Italia siku ya utoaji tuzo...
 
Oyoooooo, chibu anatisha sana Mtv wamenyooka zamu ya Ulaya sahv

Tukutane Milan, Italia siku ya utoaji tuzo...

Unaniacha hoi hapo unapompa huyo bwana wenu hadhi ya 'usupremacy!!'
So yeye ananyoosha kila kitu hadi mtv??
Ni mtu alotukuka! Akikwambia 'nyooka!, inama!' wewe jibu lako 'ewala!'.
 
Unaniacha hoi hapo unapompa huyo bwana wenu hadhi ya 'usupremacy!!'
So yeye ananyoosha kila kitu hadi mtv??
Ni mtu alotukuka! Akikwambia 'nyooka!, inama!' wewe jibu lako 'ewala!'.

Sasa nani kakwambia nyooka? inama? yote hiyo ni kukimbia point ya msingi kwamba Mondi bin laden ni shiiiiida MTV wampigia salute...

Tukutane Milan, Italia si unajuwa ndio level zake hizoo, nyie kwa sasa mkomae na bingwa za Kenya, zikija kutolewa wakimpa mondi sio mbaya tutachukuwa hvohvo zikakae kwa mlinzi apambepambe
 
Back
Top Bottom