Diamond apata nomination ya MTV Europe Awards kwa kishindo

Diamond apata nomination ya MTV Europe Awards kwa kishindo

Lazima muumie kwasababu kiba unajuwa sio level zake, na wala hawamfahamu...

Na bet utasema nothing new kisa mwakahuu Stonebwoy kashinda mbele ya wakina wizkid, aka, sarkodie hahahaha

Utanyooka jomba endelea kuisoma namba, hii haina kurudi nyuma ni ngazi tu!!!
So diamond is better than wizkid if kiba not nominated "daimond nominated first than wizkid is he better than him???
 
So diamond is better than wizkid if kiba not nominated "daimond nominated first than wizkid is he better than him???

Usiwe na kichwa kizito hahaha...

NOMINATION LIST FOR BEST AFRICAN ACT 2015
nadhani umeelewa, au unaweza kuangalia neno mojamoja kwenye Kumuwise.

Wizkid hajafanya la kutisha kumzidi diamond 2015, kwa mfano ojuelegba iko poa ila sio kuzidi nana sema tu imepata credit kidogo kutokana na mastar wakubwa kuikubali lakini mziki ni kwaajili ya mamilion ya watu sio mastaa wa3 then umetisha hakunaaa..

Anza na airplay kwenye Vituo vikubwa vya tv na redio, uje youtube views, nooooooma Kitu Sankoro, uje upokeaji wa mashabiki kitaa NANA imetrend kuliko yaniii
 
TUZO TANO(5)

(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura

@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist

Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA

==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
Polls
Diamond yupo categories 4
✔Best male artist east africa
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best African Artist in contemporary

==
(4) AFRIMMA - Africa music magazine awards. Link
Nominees 2015 |
Categories 7
✔Best male east
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best collaboration
✔Afrimma video of the year
✔best dance video
✔Afrimma inspiration song (àlive)
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(5) MTV EMA - Mtv europe music awards. Link
base.mtvema.com/vote
Category ya
✔Best african act
Piga mara nyingi uewezavyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom