Kwa hiyo atawaimbia Salome wazungu? You are not serious bro.
Manfongo & Justin bieber ππππWizkid & Chris Brown
Diamond & NeYo
***** labda bieber wa King'okoManfongo & Justin bieber ππππ
Huyo mmoja ni jukwaa moja tu tena Mombasa ....see the difference plzWizkid & Chris Brown
Diamond & NeYo
Hahha mkuu soma vizuri nimeandika Wizkid &Chris Brown si Alikiba &Chris brownHuyo mmoja ni jukwaa moja tu tena Mombasa ....see the difference plz
Sijui unataka mabango gni huo wivu anatakiwa awe nao mwnamke sio wewe wanaume wa dar bwna sijui wapojeMsanii hata wandaaji hawajakuweka kwenye mabango yao.
HIVI WEWE,KWA AKILI ZAKO MATANGAZO YA REDIO,TV NI SAWA NA TANGAZO LA BASI .................??Sijui unataka mabango gni huo wivu anatakiwa awe nao mwnamke sio wewe wanaume wa dar bwna sijui wapojeView attachment 414163
Kwa akil yako ndogo unadhani alikiba anamshinda umaarufu wizkid na Chris Brown nyumbu weweHIVI WEWE,KWA AKILI ZAKO MATANGAZO YA REDIO,TV NI SAWA NA TANGAZO LA BASI .................??
Baadaye kiliendelea nini?Ali Kiba ashaimba na R Kelly na wala hapendi kiki.
UNGEFUATILIA MWANZO WANGU WA KUWEKA HIZI PICHA NAAMINI KAMA AKILI ZAKO ZIKO SAWA USINGENIULIZA HILI SWALI.Kwa akil yako ndogo unadhani alikiba anamshinda umaarufu wizkid na Chris Brown nyumbu wewe
Zamaaani nlikua hata sijazaliwa, Nasikiaga kwa watu wakisemaAli Kiba ashaimba na R Kelly na wala hapendi kiki.
Hahahaha nitahakikisha nakumbuka Mkuu..Mkuu story mpya lini? safari hii ukisahau kunitag nakuroga ππππππππππ
Hivi mkuu huwa unazitoa wapi ..........Maana huwa naingia wikileaks,lakini huwa sizioni.Hahahaha nitahakikisha nakumbuka Mkuu..
Hopeful this weekend ntaweka stori mpya..