Diamond apata shavu , kutumbuiza na Neyo United Kingdom

Diamond apata shavu , kutumbuiza na Neyo United Kingdom

Muziki wa bongo flavour unazid kushika kasi nje ya mipaka ya Tanzania.
Kwa taarifa za kuaminika zinasema mwanamuziki diamond platinumz amealikwa na nguli wa muziki wa miondoko ya R&B kutoka marekan Neyo katika ziara/ matamasha yake sita ya music ambayo atayafanya nchini Uingereza.

Tunafurah tunapoona wanamuziki wetu wanapoweza kutambulika nje ya nchi na kuweza kufanya matamasha ya pamoja na manguli wa muziki kutoka nchi za nje.

Hongera Diamond na wanamuziki wote wa Tanzania kwa juhudi mnazozifanya kutambulisha muziki wetu kimataifa.

Chanzo E. fm Radio.
 
Huyo mmoja ni jukwaa moja tu tena Mombasa ....see the difference plz
Hahha mkuu soma vizuri nimeandika Wizkid &Chris Brown si Alikiba &Chris brown
Cuz najua Chris brown hajawahi hata kusikia kama kuna mtu anaitwa KiBa
 
Msanii hata wandaaji hawajakuweka kwenye mabango yao.
CB-X-Wizkid.jpg
 
Msanii hata wandaaji hawajakuweka kwenye mabango yao.
CB-X-Wizkid.jpg
Sijui unataka mabango gni huo wivu anatakiwa awe nao mwnamke sio wewe wanaume wa dar bwna sijui wapoje
tapatalk_1475858935121.png
 
HIVI WEWE,KWA AKILI ZAKO MATANGAZO YA REDIO,TV NI SAWA NA TANGAZO LA BASI .................??
Kwa akil yako ndogo unadhani alikiba anamshinda umaarufu wizkid na Chris Brown nyumbu wewe
 
Kwa akil yako ndogo unadhani alikiba anamshinda umaarufu wizkid na Chris Brown nyumbu wewe
UNGEFUATILIA MWANZO WANGU WA KUWEKA HIZI PICHA NAAMINI KAMA AKILI ZAKO ZIKO SAWA USINGENIULIZA HILI SWALI.
 
Back
Top Bottom