Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Muziki wa bongo flavour unazid kushika kasi nje ya mipaka ya Tanzania.
Kwa taarifa za kuaminika zinasema mwanamuziki diamond platinumz amealikwa na nguli wa muziki wa miondoko ya R&B kutoka marekan Neyo katika ziara/ matamasha yake sita ya music ambayo atayafanya nchini Uingereza.
Tunafurah tunapoona wanamuziki wetu wanapoweza kutambulika nje ya nchi na kuweza kufanya matamasha ya pamoja na manguli wa muziki kutoka nchi za nje.
Hongera Diamond na wanamuziki wote wa Tanzania kwa juhudi mnazozifanya kutambulisha muziki wetu kimataifa.
Chanzo E. fm Radio.