ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kwa vile umesikia wacha tukuacheNasikia anakorona kaipata huko...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile umesikia wacha tukuacheNasikia anakorona kaipata huko...?
Kweli zote pesa kivuko ni 200, ukitoa 100 UTAOGELEA unajua kwanini bibie ?
mmmmh Messi anavuta oksijeni huyo mwingine anavuta oksiasha
Sasa Alikiba kacheza ad mpira na ana Balon dor kabisa..ila hapendi kujionyesha ndio maana alienda kucheza costal union wakati alisajiliwa Real madrid
Kwa jibu hili bila shaka nimeelewekaKwa sababu utageuka konda
Wewe Ni jinsia ganiSasa Ali kiba na harmonize wanahusikaje hapaaa? Khaaaaaa mbona team Domo mna ugaga hivi lol.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huu Uzi unahusiana vepeeeeeeh na jinsia yanguuu? Any way me ninazo zote unazozijua lolWewe Ni jinsia gani
Samahani kukuingilia'
kelphin kepph
Mzee jiongeze,chapati ya maji huyoWewe Ni jinsia gani
Samahani kukuingilia'
kelphin kepph
Huu Uzi una ujinga gani?Sijuiii linii na mm nitaufikiaa huu ujingaa wa kupost nyuzii zaa namna hiii na huwa najiulizaa ni watu wazima au mashabikii wa insta
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa Alikiba kacheza ad mpira na ana Balon dor kabisa..ila hapendi kujionyesha ndio maana alienda kucheza costal union wakati alisajiliwa Real madrid
Daah! We mjamaaa fala kweliii aiseeee.Sasa Alikiba kacheza ad mpira na ana Balon dor kabisa..ila hapendi kujionyesha ndio maana alienda kucheza costal union wakati alisajiliwa Real madrid
FIFA vs (TFF) SSC huu ni undezi wa PhD....💩💩💩Na hapa mmeona?tuzo za kupewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1379820
Pheeewiiiiii
amemwakilisha nani? Labda ww hayo ni mambo yake apana kuinclude wote sawaMsanii wa Kimataifa kutoka Tanzania Alipata nafasi kutembelea museum ya FIFA pale Zurich.Msanii diamond ametua uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European tour.
Baada ya kuingia museum ya FIFA amepewa zawadi ya kikombe kidogo pamoja na jezi yenye jina lake Platnumz no 9 mgongoni na secretary wa FIFA mwanamama Fatma Soumora.Mwanamama huyo ni fan mkubwa wa diamond ndio aliyempigia chupuo diamond aperform kwenye tuzo ya mwanasoka wa Africa ambayo tulishuudiwa ikichukuliwa na Saido mane kutoka Senegal.Pia diamond akapata nafasi ya kusign mpira wa FIFA lakini pia FIFA walimpost diamond kupitia insta story ya FIFA world cup.
Big up diamond kwa kutuwakilisha vizuri