Diamond apewa zawadi na FIFA

Diamond apewa zawadi na FIFA

Diamond Platnumz ni kiwanda cha kutengeneza single mother duniani.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Gef
Sasa Alikiba kacheza ad mpira na ana Balon dor kabisa..ila hapendi kujionyesha ndio maana alienda kucheza costal union wakati alisajiliwa Real madrid

Hahahahah watu akili zenu mnazijua wenyewe [emoji23][emoji23]


Alexander The Great
 
Huyu mama anamjua Diamond au anamuona ona tu?
Lakini hata kiba kishafika sana hapo enzi za Blatter ila hapendi show off
January 2020 wakati wa utoaji tuzo za CAF.Diamond alikuwa mmoja wa watumbuizaji hapo ndipo connection ilipopatikana
ENs0uf7WsAI1EMF.jpg
images (14).jpeg
 
Labda huyo mama secretary anamtaka Dimond
 
Kwa ninavyomjua Diamond,atamtafuna tu huyu mama,na akishaingiza domo lake chumvini mama hatoki,utasikia kombe la dunia limehamishiwa Tanzania sababu ya corona
Huyo mama ni mtu Smart sana kishashika vyeo vingi vikubwa dunia hawezi kufanya upuuzi huo.Yy ana appreciate kazi zake Diamond basi na si vinginevyo.
 
Kwa ninavyomjua Diamond,atamtafuna tu huyu mama,na akishaingiza domo lake chumvini mama hatoki,utasikia kombe la dunia limehamishiwa Tanzania sababu ya corona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaaah weeee mkuuuh, yaaan nmechekaaaa Hadi mbavu zinauma uwiiiiiiiiih lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wakifa watazikwa kwenye jeneza, na wote chini ya ardhi
Halafu unakuta wewe huna chochote hapo ulipo unanuka umasikini halafu unamdharau Mohamed Husein anayefanya wajibu wake na kuwekeza
Oksijeni ana vuta kila mtu hapa tunazungumzia ACHIEVEMENT bibie , Messi ameachive bilionea na shabalala ameachieve shilingionea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom