MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Muziki ni hisia zako tu. Hakuna cha lugha wala nini... Yousu Ndour wa Senegal kapiga muziki kwenye majukwaa makubwa duniani kwa lugha yake ya huko Senegal.. Hayati Miriam Makeba alichukua Grammy kwa lugha ya kwao... pita nchi za SADC & EAC ukute watu wengi hawajui kiswahili lakini wanasikiliza nyimbo zote za Mboso. Wacongo walikuwa wanatamba dunia nzima miaka ya nyuma huku wengi wetu hatujui Lingala. MUSIC IS A UNIVERSAL LANGUAGE