Diamond apokelewa Congo kwa shangwe

Diamond apokelewa Congo kwa shangwe

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656

Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu.

Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
 
Sasa huyo shetani wako mbona hajapata hizo loloso ulizotuwekea kwenye huu uzi wenye lengo la kulinda legacy ya dikteta muuaji, mporaji na mtekaji?
Mmekazana kusema muuwaji mkiambiwa mtaje hao aliowauwa mnaishia kutukana na kulopoka.

Chadema iliwajaza chuki na skendo za kitoto sana.

Si ajabu utakuwa vyeti feki kama sio mla rushwa
 
Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu.
Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.

Labda mumkamate madaraka Nyerere,kenge nyie!!!!
 
Legacy inakumbukwa baada ya vitu kuwa bei juu, huku wanyonge wakiishi kishetani zaidi
 
alimuuwa beb sanane,mawazo na azory gwanda na alimteka roma,mo na nay wa mitego,alipora hela za maduka ya bureau de change,alipora korosho za mtwara,alimpiga lissu risasi.
Taahi.ra wewe, nchi iko na watu milioni 60 na Rais ni lazima alinde maslahi ya wengi, huyo Mo ushamsikia akieleza kilichomfanya akamatwe? leo kikiwekwa wazi utaificha wapi sura yako? Tundu Lissu kwa HUJUMA alolifanyia Taifa kipindi kile wala haikuhitaji amri ya Rais kupatiwa haki yake bali mtu yeyote mwenye viapo tu lazima angemuadabisha, Ben Saanane nenda kamuulize DJ ndo anajua aliko, mtu awapore korosho wampende? muulize Nape kilichompata alivyoonesha kufurahia kifo cha JPM siku wakimkaribisha Membe kurejea CCM kwa kusema Mungu ameamua....
 
Sio Kongo tu magufuli ni raisi ambaye alikubalika dunia mzima
Uku Canada kulikuwa na maandamano ya kupinga sheria za chanjo kwa watu ambao hawataki kuchanja niliona wazungu walitumia picha ya magufuli kama mkombozi wao
 
[emoji849][emoji849][emoji849] Canada ya chanika?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
alimuuwa beb sanane,mawazo na azory gwanda na alimteka roma,mo na nay wa mitego,alipora hela za maduka ya bureau de change,alipora korosho za mtwara,alimpiga lissu risasi.
Mlikuwa mnaua wote?
Mlikuwa mnapora wote?

Au ndio ile mimba za chuki uliyo ihifadhi ya Mwendazake ambayo haikomai kila siku changa.

Wewe hata ukimponda ila wapo wengi walio yaona mambo mazuri ya Magu na hamuwezi kuwafunga mdomo.
 
Ben Sa8, Azory Gwanda na wote waliopatikana kwenye viroba ufukweni. Mpuuzi yule afe tena huko aliko
Nchi hii aliewahi kufa ni ben sa 8 tu na azory gwanda sio? Mwangosi hakua mtu? Dr. Mvungi nk hawakua watu? Mbona hamuwasemei? Hii nchi ina watu wa hovyo sana.
 
mafisadi yako ccm ndio maana hata lile fisadi papa lilowasa lilishindwa chadema kukaa baada ya kuona chadema hakuna fisadi kama lenyewe likarudi kwa mafisadi wenzake ccm na ndio mafisadi yamejazana hadi sasa.
Nenda kanawe uso dogo naona utoto bado unakusumbua
 
Hao akina mbowe na tundulisu wana legacy gani??binadamu siku zote ana ishi na udhaifu hakuna atakayethubutu kusema jpm hakuw na udhifu ingawa n rais alielipenda taifa lake kwa dhati,sikufichi hakuna wino utakaopinga hilo.....usipaze sauti ili watu wakusikilize bali kuza utu wako kwan ndio utakojenga legacy yako.
 
Back
Top Bottom