Jlwe alikuwa shetani asiyevumilikaNchi hii aliewahi kufa ni ben sa 8 tu na azory gwanda sio? Mwangosi hakua mtu? Dr. Mvungi nk hawakua watu? Mbona hamuwasemei? Hii nchi ina watu wa hovyo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jlwe alikuwa shetani asiyevumilikaNchi hii aliewahi kufa ni ben sa 8 tu na azory gwanda sio? Mwangosi hakua mtu? Dr. Mvungi nk hawakua watu? Mbona hamuwasemei? Hii nchi ina watu wa hovyo sana.
Toa ushahidiBen Sa8, Azory Gwanda na wale wote waliokutwa kwenye viroba baharini
Si ndiyo maana kafa kizembe? Wewe unadhani nn kimemuua kama siyo damu za watu zilizokuwa zinamlilia!?Toa ushahidi
Vyeti feki...nyapu yakooSasa huyo shetani wako mbona hajapata hizo loloso ulizotuwekea kwenye huu uzi wenye lengo la kulinda legacy ya dikteta muuaji, mporaji na mtekaji?
Huyo jini ndiyo alikuwa na vyeti feki. Ben Saa8 alipoandika makala ya kumuumbua akamuua.Vyeti feki...
ben saa nane.....azory gwanda na ......Acha kuandika kama punguani, aliua nani, aliteka nani na alimpota nani?
Ebu tutolee ujinga hapa...nenda kalime upupu huko na ukasome ili upate cheti halisi..wacha njia za mkato..nyambafuuuHuyo jini ndiyo alikuwa na vyeti feki. Ben Saa8 alipoandika makala ya kumuumbua akamuua.
Huko aliko afe tena
Ndiyo maana jiwe kafa. Alizungukwa na wajinga wengi kama wewe wakampotosha akazingatia ushirikina korona ikamuuaEbu tutolee ujinga hapa...nenda kalime upupu huko na ukasome ili upate cheti halisi..wacha njia za mkato..nyambafuuu
Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu.
Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
Kweli mkuu,vyeti feki ndio wanachuki na mwamba JPm,nawale wala rushwa Tu mkuu.Mmekazana kusema muuwaji mkiambiwa mtaje hao aliowauwa mnaishia kutukana na kulopoka.
Chadema iliwajaza chuki na skendo za kitoto sana.
Si ajabu utakuwa vyeti feki kama sio mla rushwa
Nakukubali Sana mkuu,watu wakadhani hao Chadema sijui Akina Lissu niwakombozi hakuna lolote ,wala hakuna chochote kitu .JPm for life.Taahi.ra wewe, nchi iko na watu milioni 60 na Rais ni lazima alinde maslahi ya wengi, huyo Mo ushamsikia akieleza kilichomfanya akamatwe? leo kikiwekwa wazi utaificha wapi sura yako? Tundu Lissu kwa HUJUMA alolifanyia Taifa kipindi kile wala haikuhitaji amri ya Rais kupatiwa haki yake bali mtu yeyote mwenye viapo tu lazima angemuadabisha, Ben Saanane nenda kamuulize DJ ndo anajua aliko, mtu awapore korosho wampende? muulize Nape kilichompata alivyoonesha kufurahia kifo cha JPM siku wakimkaribisha Membe kurejea CCM kwa kusema Mungu ameamua....
Oh God my eyes are letting me down or what? did you wrote that your name is 'sexless' surely?Sasa huyo shetani wako mbona hajapata hizo loloso ulizotuwekea kwenye huu uzi wenye lengo la kulinda legacy ya dikteta muuaji, mporaji na mtekaji?
Muziki wa nani vile Jr? 🤣🤣Don't stop till you get enough
Una ushahidi? Chuki tu zimekujaa.Ben Sa8, Azory Gwanda na wale wote waliokutwa kwenye viroba baharini
Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu.
Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
Mpe ushahidi kwa kumuonesha Azory na Ben Saanane wako wapi ili aache kukuudhi.Una ushahidi? Chuki tu zimekujaa.
Unakuta ukoo wenu ni wauaji mnatunza misukule ila mnajiona innocent .
Vyeti feki wewe.