MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mmekazana kusema muuwaji mkiambiwa mtaje hao aliowauwa mnaishia kutukana na kulopoka.Sasa huyo shetani wako mbona hajapata hizo loloso ulizotuwekea kwenye huu uzi wenye lengo la kulinda legacy ya dikteta muuaji, mporaji na mtekaji?
Ben Sa8, Azory Gwanda na wale wote waliokutwa kwenye viroba bahariniMmekazana kusema muuwaji mkiambiwa mtaje hao aliowauwa mnaishia kutukana na kulopoka.
Acha kuandika kama punguani, aliua nani, aliteka nani na alimpota nani?Sasa huyo shetani wako mbona hajapata hizo loloso ulizotuwekea kwenye huu uzi wenye lengo la kulinda legacy ya dikteta muuaji, mporaji na mtekaji?
Labda mumkamate madaraka Nyerere,kenge nyie!!!!
Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu.
Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
Kama si hayo basi atakuwa mshikishwa ukuta kama yule bwana wao kule ubeberuni.Si ajabu utakuwa vyeti feki kama sio mla rushwa
Taahi.ra wewe, nchi iko na watu milioni 60 na Rais ni lazima alinde maslahi ya wengi, huyo Mo ushamsikia akieleza kilichomfanya akamatwe? leo kikiwekwa wazi utaificha wapi sura yako? Tundu Lissu kwa HUJUMA alolifanyia Taifa kipindi kile wala haikuhitaji amri ya Rais kupatiwa haki yake bali mtu yeyote mwenye viapo tu lazima angemuadabisha, Ben Saanane nenda kamuulize DJ ndo anajua aliko, mtu awapore korosho wampende? muulize Nape kilichompata alivyoonesha kufurahia kifo cha JPM siku wakimkaribisha Membe kurejea CCM kwa kusema Mungu ameamua....alimuuwa beb sanane,mawazo na azory gwanda na alimteka roma,mo na nay wa mitego,alipora hela za maduka ya bureau de change,alipora korosho za mtwara,alimpiga lissu risasi.
HahahahahahahKama si hayo basi atakuwa mshikishwa ukuta kama yule bwana wao kule ubeberuni.
Ben Sa8, Azory Gwanda na wote waliopatikana kwenye viroba ufukweni. Mpuuzi yule afe tena huko alikoAcha kuandika kama punguani, aliua nani, aliteka nani na alimpota nani?
[emoji849][emoji849][emoji849] Canada ya chanika?Sio Kongo tu magufuli ni raisi ambaye alikubalika dunia mzima
Uku Canada kulikuwa na maandamano ya kupinga sheria za chanjo kwa watu ambao hawataki kuchanja niliona wazungu walitumia picha ya magufuli kama mkombozi wao
Mlikuwa mnaua wote?alimuuwa beb sanane,mawazo na azory gwanda na alimteka roma,mo na nay wa mitego,alipora hela za maduka ya bureau de change,alipora korosho za mtwara,alimpiga lissu risasi.
Nchi hii aliewahi kufa ni ben sa 8 tu na azory gwanda sio? Mwangosi hakua mtu? Dr. Mvungi nk hawakua watu? Mbona hamuwasemei? Hii nchi ina watu wa hovyo sana.Ben Sa8, Azory Gwanda na wote waliopatikana kwenye viroba ufukweni. Mpuuzi yule afe tena huko aliko
Nenda kanawe uso dogo naona utoto bado unakusumbuamafisadi yako ccm ndio maana hata lile fisadi papa lilowasa lilishindwa chadema kukaa baada ya kuona chadema hakuna fisadi kama lenyewe likarudi kwa mafisadi wenzake ccm na ndio mafisadi yamejazana hadi sasa.