Diamond apokelewa kama Rais Msumbiji, apewa heshima zote za kirais

Wanabodi.
Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london ambapo hakuna msanii wa bongo aliewahi kufanya show ya peke yake indigo.
Video yake iko wapi?
 
vp ina maana kapokelewa na mizinga pia..uzi wa kizandiki huu mixer kiwakiwaki
 
Back
Top Bottom