Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mwenyewe umekurupuka!Mtoa Mada Umekurupuka.........! Kapicha??????
Hakuna team kiba kuna team mchukia mondi..SiSiku mondi akitangulia mbele za haki kiba atabaki kama ray wa bongo move.Wewe team kiba tushakujua ..
Ujue haya mambo huwezi kuficha Mkuu.
Reply zako tuu hata mada za nyuma kuhusu Mond na kiba zinaonesha uko wapi
sawaWewe team kiba tushakujua ..
Ujue haya mambo huwezi kuficha Mkuu.
Reply zako tuu hata mada za nyuma kuhusu Mond na kiba zinaonesha uko wapi
Nimeangalia insta yake kwakweli katisha, yaani hadi makamanda wamesahau majukumu yao wanajichukua selfie
Diamond ni wa kimataifa jamaa anakubalika sana inje ya Tanzania
we mwenyewe umekurupuka!
Tunakuombea uzidishiwe roho mbaya , amen.Taarifa ya kishabiki,Fanya tafiti usikurupuke.Nipo huku waandaji wa show walipewa sharti la kwanza ni kukusnnya watu airport.Na salaam na quiz ndio walikuwa organizer wa hiyo kitu.
Msiwe mnaingia mkenge kijinga,Ukiona jambo ongeza na zako.
Hata la lissu tusingeongeza zetu ungekuta tunasubiri ripot ya polisi au bunge november.Ila tumestuka na sasa habari ya taifa ni Tundu lissu
KwannHii show aliofanya Diamond mmmmmmmh Hadi BET wameshindwa kuvumilia
HahahahAhahhaaaa,SIMBA BIN LADEN ANA NYOTA ISIYOCHUJA KABISAAAA,WATU WAKIAMUA KUMSHUSHA WASISAHAU NA KUJA KUNG'OA MEMORY ZILIZO NSTALL MOND VICHWANI,MAAANA KUMSHUSHA iSHASINDIKANA
NA DADA YETU MANGE KAONA AENDELEE TU NA SIASA ZAKE MAANA KIBAKULI ANA DHARAU HUYU MTU DAAAHHHHH,HATA KUHOJIWA TU ANARINGA
GO GO GO SIMBAAAAAAAA