Diamond apokelewa kama Rais Msumbiji, apewa heshima zote za kirais

Diamond apokelewa kama Rais Msumbiji, apewa heshima zote za kirais

Wanabodi.
Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london ambapo hakuna msanii wa bongo aliewahi kufanya show ya peke yake indigo.
Acha uongo wewe! weka picha tuone km ni kweli
 
Mimi niko msumbiji hapa nilikuwepo wakati anapokelewa.Kiufupi watu walijiyokwza kwa wingi sana sana but walio wengi ni raia ta tz wanaojishughulisha huku kwa biashara ndogo ndogo na uchimbji madini.Lakini kiukweli dai anaheshika sana huku hasa ni baada ya kushirikiana na wasanii baadhi wa zambia na mawawi i think so nyimbo zake zinapendwa pia huju
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama rais uongo? Traffic wangap vile ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa taarifa yenu

DIAMOND NDIO MSANII WA KWANZA AFRICA KUFANYA SHOW KUBWA OFFICIAL PALE LAS VEGAS NCHINI MAREKANI KATIKA UKUMBI WA MGM ILIYOHUDHURIWA NA MASHABIKI WENGI ZAIDI.KWA TAARIFA ZAIDI NENDENI MILLARD AYO KISHA SEARCH SHOW YA DIAMOND MAREKANI.
DIAMOND SIO MARA YA KWANZA KUPATA MAPOKEZI KAMA HAYO.ULIZENI WAKENYA,WAMALAWI,WASAUZI,WAZIMBABWE NA SASA MSUMBIJI.KOTE AMEPOKELEWA KAMA MTU MWENYE KITU FULANI CHA ZIADA.
DIAMOND NI MSANII PEKEE EAST AFRICA MWENYE VIEWERS ZAIDI YA 100M+ KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI.
DIAMOND NI MSANII PEKEE EAST AFRIKA AMBAYE AKIFIKA SAUZI NA NIGERIA NCHI HIZO ZINATAMBUA KUNA MSANII TOKA EA KAINGIA NCHINI KWAO.WENGINE POROJO KIBAO.
DIAMOND NI MSANII PEKEE ANAEPIGA SHOW ULAYA NA MAREKANI KATIKA KUMBI ZINAZOELEWEKA NA KWA MKATABA MAALUMU.WENGINE WENGINE HAO UKISIKIA KAENDA ULAYA JUA WANAKWENDA KUPIGA SHOW KWENYE KITCHEN PARTY,HAPPY B/DAY ZA WABONGO NA KWENYE VISHEREHE NA VIBAA VYA WABONGO...

Nakaribisha mapovu maana ukweli UNACHOOOOMA KAMA PASI
 
Wanabodi.
Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london ambapo hakuna msanii wa bongo aliewahi kufanya show ya peke yake indigo.
BILA HATA KAPICHA?,tutaamini vipi kwa maneno tupu?
 
Rais wa filamu..Rais wa Tff..Rais wa Simba..
Mairais ni wengii sana..
 
Back
Top Bottom