MTAZAMO WANGU JUU YA MALUMBANO YA CHONZA (Naibu Waziri) na DIAOMOND PLATINUMZ (Msanii wa Muziki wa kidunia)
1. Hawa likely wanajuana kuliko sisi wengi tunaodhani kuwa malumbano haya yanahusu kufungiwa kwa nyimbo tu.....!
Yes, mbona wanalumbana kama vile ni mtu na mpenzi/mke wake kwa vitu walivyopaswa kuvizungumzia chumbani hata kujisahau kabisa kuwa wao ni public figures ???
2. Wote hawa wana - lack professionalism ya ujengaji wa hoja. Mfano, huyu naibu waziri anasema hawezi kujibizana na Diamond at the same akijibu hoja zake kana kwamba mke analalama kwa mume wake...!!
Huyu mwanamuziki naye, kwa maoni yangu kauli zake za awali ktk mahojiano yake kwenye radio station zilitosha sana kufikisha ujumbe aliokusudia kwa jamii na serikali japo ni kweli lugha aliyokuwa anaitumia ni ya kejeli na dhihaka kupita kiasi.
Na kupitia Tweeter account yake ndiyo kabisa kaharibu na kadhihirisha kuwa aidha bado ni mtoto ama hajafundishwa namna ya kuongea kupitia medias....
Hili (la kushindwa kuongea kiprofesheno kupitia media) si tatizo la diamond pekee bali linawakabili wasanii na wanamichezo wengi sana hapa nchini kwetu tofauti kabisa na wenzetu wa nchi zingine tunaowaona wakifanya interview na media mbalimbali...
Na hili linalomuhusu Diamond VS Shonza - Naibu Waziri, ndipo hasa linanileta kwenye conclusion ya kwamba, may be hawa watu (Diamond VS Chonza, they are more that what we slightly know...!!
Very unfortunately kwamba, Mzee Dr Harrison Mwakyembe naye bila kutumia hata busara za uzee wake kaingia kichwakichwa kwenye "mambo ya wawili" vijana wenye opposite sex !!