George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Anahitaji media zote sio clouds pekee..!Kil.msanii anahitaji media zote katika kufanikisha kazi zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahitaji media zote sio clouds pekee..!Kil.msanii anahitaji media zote katika kufanikisha kazi zake
Ushamba tu kwanza manyimbo yake matusi mwanzo mwisho. Tabia chafu. Hatmonize yuko njema sanajpm ndo serkali ...na amempigia simu majuzi tu kumpongeza....hao wengine wanapiga kelele tu au ulikua unazungumzia serikal ipi tena
WCB fm ipo njianiSawa!!yetu macho....!!!!
Kabisa yani kama vile masikio yamezidi kichwa. Kisa mtu unaenda imba world cup ndio usiwe na break za maneno. Approach ni mbaya sana usikute kaona Shonza ni mwanamke amekua mnyonge wake.
nimpende nani?hio siku am afraid it wont ..hamna namna mpendeni tu
Hili nalo nenoMchawi binadamu paka katumwa tu...
Shonza paka..mchawi unamjua sana!
una chuki na mwekezaji sio bure unajuwa ajira ngapi kakrieti paleDiamond kumbe inauma eeehhh!!
Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...
Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?
Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!
Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.
Mchawi binadamu paka katumwa tu...
Shonza paka..mchawi unamjua sana!
I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
Lil ommy ni mkali kuliko Dozen trust me Bro sema Dozen anabebwa na ukubwa wa CMG
Nimesoma comments zako kwenye huu uzi ! Nimekuelewa kinoma!Sawa!!yetu macho....!!!!
Kwani watamfanya nini?Wanaomshangilia Diamond kumshambulia hivi waziri wala sio kwamba wanampenda bali wanajaribu kujua nini kitatokea? Binafsi mimi nampenda Diamond lakini hili la kumshambulia waziri as if ni hawara yake kwakweli sikubaliani nalo kabisa.....Diamond amekosa adabu kabisa pengine anamjibu Shonza kwakuwa ni mwanamke lakini kamwe kwenye hili hatoweza shinda maana anayofanya waziri na taasisi yalikuwa ni maagizo ya Rais sasa unapo mshambulia waziri kwenye mitandao maana yake unamshambulia Rais
Diamond anaweza kuwa na hoja lakini hii njia anayotumia haiwezi kumfikisha popote....maana kwenye hili hawa wanaomshangilia watakuja kumgeuka......Nyimbo zake zote hakuna aliyoonewa hata moja.....kwa hiyo kujifanya ana mdomo sana kunaweza mponza zaidi......