Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampanikisha....tayari kashaingia bifu na mamlaka...wao wanafurahi tu kwa sasaKumbuka daimond ni serekari
Hayo yanayoendelea ni kuficha aibu but ujumbe umeshafika
Ajabu sanaHatariiii
Aaaaah aaaaaahWote hao ni ccm sie ni kutazama mwisho ake utakua vipi
Mkuu atawashikanisha mikono game over, wanajaribu kubadirisha topic kwa sasa angalau msahau ule ujinga wa kimangi.Wote hao ni ccm sie ni kutazama mwisho ake utakua vipi
May be BT dogo ana maadui wengi sanaMkuu atawashikanisha mikono game over, wanajaribu kubadirisha topic kwa sasa angalau msahau ule ujinga wa kimangi.
Tatizo la Tanzania ni watanzania wenyewe, sawa mkuu serikali ni kubwa je bila sisi wananchi serikali itakuwepo?. Tatizo serikali ya awamu hii kila mtu anatafuta jinsi ya kuendana na kasi ya mhHakuna asiyelipa kodi mzee. Msidanganyike na mbwembwe. Serikali ni kubwa kuliko msanii yeyote yule.
Kama anahisi ameonewa, afuate utaratibu na sio kuwananga viongozi wa taifa letu kisa kujulikana kwa kuimba.
Mawaziri wameteuliwa na mh rais. Kuanza kuwananga, ni kumnanga rais pamoja na serikali nzima.
Who is diamond kwa taifa hili na viongozi wake? Kama anaonewa ahame nchi akafanye muziki huko wanakoruhusu upumbavu na alipe huko hizo kodi
Acha kujidhalilisha mond niserikal yawap? Au serikal yaukoo wenu?Kumbuka daimond ni serekari
Hayo yanayoendelea ni kuficha aibu but ujumbe umeshafika
Hii kauli yako ni ya kinafiki. Maana unataka kusound kama vile you care about him, au unamuonea huruma hapo hapo!Jaman jaman washauri mshaurini kijana apunguze spidi,makonda hawezi mlinda miaka yote.
Kuna watu walikua na kauli za siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa leo wako wapi!
Kafungwa sugu mbunge mwenye kura nyingi kuliko wote TZ sembuse yeye balozi tu wa kuuza jina aiseeee
Usiwapotoshe wenzio.Ni kipindi wasaniii wakajitambua hawawezi kuwa na mafanikio kwa kutegemea clouds...what is clouds....wasanii wajenge umoja na wote wagome clouds kupiga nyimbo zao, tuone hili jitembo litakula nini...wakitengana wataendelea kunyanyaswa milele, waache wivu, wajenge satisfaction moja watafanikiwa sana dhidi ya hili bepari la mziki nyonyaji ....
Kwa hiyo unaamini bongo fleva bila clouds haiwezekani na msanii hawiki,kumbuka kabla ya clouds kulikuwa na RTD,Radio One,Radio Free na sasa Clouds ,ndio ujue kila lenye mwanzo halikosi mwisho.Tatizo wasanii waoga wanalalamika wakiwa tayari washaibiwa hawajui wao ndio wanaibeba clouds kwani wakiamua kuigiomea clouds ,unafikiri tamasha lao litafanyika na hiyo redio si itakosa nyimbo ya kupiga.Ukae ukijue HAKUNA MTU ALIYEUMBWA KUWA NO 1 na MWENYE HATI MILIKI WA HUU MZIKI.Usiwapotoshe wenzio.
OokKuna member wawili hapa kutwa kuipigia clouds promo kama tupo miaka kumi na tano iliyopita, media imebadilika sana mnatakiwa mfikiri mara mbili.
Lissu atabaki kuwa nabii wa nchi hii daimaWatajuana Kivyao Bhana
Kipindi Cha Kampen Si Ndio Huwa Wanamtumia Uyo Kijana.....!!
Nimekumbuka Kauli Ya Mr President 2020 Tundu Lissu
Hawa Watu Wakimaliza Kwetu Watahamia Na Kwenu
Over