Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Kumbuka daimond ni serekari

Hayo yanayoendelea ni kuficha aibu but ujumbe umeshafika
 
Ndio watu wanajifanya wana akili ya Kazii, kubadilii akili za watu.
 
Tumsubiri TCRA naye,sijui ataifungia WasafiTv na Redio ,pamoja kupanic kwa Diamond (jamaa anapoint ila tatizo uwasilishaji wake ,lkn yupo sahii 100%) lkn wajitafakari kwanza BASATA ,TCRA na WIZARA .Hii tasnia ya burudani inaenda kimungumungu (wasanii walivyo kama wale mbuzi wakafara) na maamuzi yao yanawaumiza wasanii baada ya kuwasaidia.
 
Kugombana na diamond ni sawa na kugombana na makonda.

Matokeo ya kugombana na makonda kila mtu anayajua.

Usiseme sikukwambia.

Daddy is coming.
 
Hakuna asiyelipa kodi mzee. Msidanganyike na mbwembwe. Serikali ni kubwa kuliko msanii yeyote yule.

Kama anahisi ameonewa, afuate utaratibu na sio kuwananga viongozi wa taifa letu kisa kujulikana kwa kuimba.

Mawaziri wameteuliwa na mh rais. Kuanza kuwananga, ni kumnanga rais pamoja na serikali nzima.

Who is diamond kwa taifa hili na viongozi wake? Kama anaonewa ahame nchi akafanye muziki huko wanakoruhusu upumbavu na alipe huko hizo kodi
Tatizo la Tanzania ni watanzania wenyewe, sawa mkuu serikali ni kubwa je bila sisi wananchi serikali itakuwepo?. Tatizo serikali ya awamu hii kila mtu anatafuta jinsi ya kuendana na kasi ya mh
 
Jaman jaman washauri mshaurini kijana apunguze spidi,makonda hawezi mlinda miaka yote.

Kuna watu walikua na kauli za siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa leo wako wapi!

Kafungwa sugu mbunge mwenye kura nyingi kuliko wote TZ sembuse yeye balozi tu wa kuuza jina aiseeee
Hii kauli yako ni ya kinafiki. Maana unataka kusound kama vile you care about him, au unamuonea huruma hapo hapo!
 
Ni kipindi wasaniii wakajitambua hawawezi kuwa na mafanikio kwa kutegemea clouds...what is clouds....wasanii wajenge umoja na wote wagome clouds kupiga nyimbo zao, tuone hili jitembo litakula nini...wakitengana wataendelea kunyanyaswa milele, waache wivu, wajenge satisfaction moja watafanikiwa sana dhidi ya hili bepari la mziki nyonyaji ....
Usiwapotoshe wenzio.
 
Usiwapotoshe wenzio.
Kwa hiyo unaamini bongo fleva bila clouds haiwezekani na msanii hawiki,kumbuka kabla ya clouds kulikuwa na RTD,Radio One,Radio Free na sasa Clouds ,ndio ujue kila lenye mwanzo halikosi mwisho.Tatizo wasanii waoga wanalalamika wakiwa tayari washaibiwa hawajui wao ndio wanaibeba clouds kwani wakiamua kuigiomea clouds ,unafikiri tamasha lao litafanyika na hiyo redio si itakosa nyimbo ya kupiga.Ukae ukijue HAKUNA MTU ALIYEUMBWA KUWA NO 1 na MWENYE HATI MILIKI WA HUU MZIKI.
 
Watajuana Kivyao Bhana

Kipindi Cha Kampen Si Ndio Huwa Wanamtumia Uyo Kijana.....!!

Nimekumbuka Kauli Ya Mr President 2020 Tundu Lissu

Hawa Watu Wakimaliza Kwetu Watahamia Na Kwenu

Over
Lissu atabaki kuwa nabii wa nchi hii daima
 
Back
Top Bottom