Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mnafiki kazin
B
bestmale
JF-Expert Member
#1 Nov 25, 2016
mimi namkubali sana Mond bin laden aka Chibu simba platinamzi , hivi huu wimbo wa mond na rich Mavoko , hawa bazata kama sio basata hawajauona ?? mbona mademu wako uchi kabisaaaa kuliko hata wale wa umarekani kwa trump.
Inawezekana Basata na bazata pia ni team wasafi

ana nguvu na anajulikana kuliko uyo sugu wako anaye kusuguwaga