Ndiho
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 2,306
- 1,532
Wameimba sana, wametukuza sana, wamesifu sana na kuunga mkono sana.Diamond kumbe inauma eeehhh!!
Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...
Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?
Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!
Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.
Mchawi binadamu paka katumwa tu...
Shonza paka..mchawi unamjua sana!
I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
Sasa yanakuja yanayotusibu nao yanawakuta.
" Akimakiza huku atahamia huko"---- By Tundu Lisu