Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Diamond kumbe inauma eeehhh!!

Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...

Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?

Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!

Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.

Mchawi binadamu paka katumwa tu...

Shonza paka..mchawi unamjua sana!

I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
Comment yako kdgo nizani ni nabii tito karudi kumbe ni mtu mzima ..... Iyo clouds mbona mnaitetea sana utazani ipo moja tu
 
Wanaomshangilia Diamond kumshambulia hivi waziri wala sio kwamba wanampenda bali wanajaribu kujua nini kitatokea? Binafsi mimi nampenda Diamond lakini hili la kumshambulia waziri as if ni hawara yake kwakweli sikubaliani nalo kabisa.....Diamond amekosa adabu kabisa pengine anamjibu Shonza kwakuwa ni mwanamke lakini kamwe kwenye hili hatoweza shinda maana anayofanya waziri na taasisi yalikuwa ni maagizo ya Rais sasa unapo mshambulia waziri kwenye mitandao maana yake unamshambulia waziri...
Diamond anaweza kuwa na hoja lakini hii njia anayotumia haiwezi kumfikisha popote....maana kwenye hili hawa wanaomshangilia watakuja kumgeuka......Nyimbo zake zote hakuna aliyoonewa hata moja.....kwa hiyo kujifanya ana mdomo sana kunaweza mponza zaidi......
Kuna watu wanamtumia for their own benefits am telling uu!!

Wamuache diamond hao wanatumika kumshusha
 
Tena haswaa nchi maskini!!Chrissi brown alifungiwa nje ila ana fan base all over the world that's why alisurvive ila sio Tz manaafiki kibao
Acha wampe kiburi chibu. Kumbe wanampa kaburi.

Jamaaa ushawishi wake unadrop deile.

Binafsi nahisi kama akiweka mambo sawa na clouds atazidi kupaa kuliko kuanza vita
 
Mapicha yako ya uchi hatuyataki diamond hiyo ndo msg, then unaanza kutukana serikali hadharani kisa umepewa kiwanja Kenya? Kwa kweli Magu pse mtune huyu mtu lasivyo hili la kutukana serikali ni dharau iliuopitiliza vipimo, mbn Sethi yuko ndani sembuse mondi? Mondi nampenda namsupport ila kwa hili hapana.
Niko pamoja na serikali
 
Kuna member wawili hapa kutwa kuipigia clouds promo kama tupo miaka kumi na tano iliyopita, media imebadilika sana mnatakiwa mfikiri mara mbili.
 
Acha wampe kiburi chibu. Kumbe wanampa kaburi.

Jamaaa ushawishi wake unadrop deile.

Binafsi nahisi kama akiweka mambo sawa na clouds atazidi kupaa kuliko kuanza vita
Tanzania kuna media nyingi sana kwahiyo clouds yenyewe haiwezi ikamfanya Diamond adrop na mfano mxuri ni kwa lady jay dee
 
Diamond ameshakua mkubwa kuliko hiyo Clouds yako
Haitakuja kutokea mkuu. Clouds ni kitu kingine. Msimpe bichwa jamaa atakuja kufeli vibaya

Ni bora kujiepusha na mabeef ya haya mamedia
 
Wewe ni mwepesi sana Wa kusahau. Ney na wimbo wake Wa "Wapo" alipata msukosuko toka jeshi la polisi, Rais magufuli akawaambia wamwachie na akasema anaupenda sana huo wimbo. Kawaziri hako ni kadogo sana ndugu
wewe uliona wapi Nay ana jibizana na waziri?
 
KAMA INAUMA CHOMOA ......CHOO....CHOMOAAAAA
 

Attachments

  • IMG_1521566132.009461.jpg
    IMG_1521566132.009461.jpg
    47.3 KB · Views: 25
LAKINI LAZIMA UYAPIME MAAMUZI YALIYOTOKA YA KUFUNGIA NYIMBO HAYAKUWA NA BUSARA HATA KIDOGO,,DIAMOND ANALIPA KODI,,HAWEZI KUJUTA I ASSURE YOU
Hakuna asiyelipa kodi mzee. Msidanganyike na mbwembwe. Serikali ni kubwa kuliko msanii yeyote yule.

Kama anahisi ameonewa, afuate utaratibu na sio kuwananga viongozi wa taifa letu kisa kujulikana kwa kuimba.

Mawaziri wameteuliwa na mh rais. Kuanza kuwananga, ni kumnanga rais pamoja na serikali nzima.

Who is diamond kwa taifa hili na viongozi wake? Kama anaonewa ahame nchi akafanye muziki huko wanakoruhusu upumbavu na alipe huko hizo kodi
 
Labda anataka ajiweke kwa Fyonza maana wagombanao.....Halafu walikuwa pamoja kwenye Kampeni.
Usikute wameshakulana hawa maana diamond naye asione sketi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bifu la kutosana wanalileta public
 
Back
Top Bottom