Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha sio diamond uyu tunaye mjuwa ..hakuna mtanzania anaye weza kumshusha sasa.. toka 2012 mnasubiri ashuke..Sio kwa tz Hii
Wanaafiki kibao wasiopenda awe juu!
Hao hao wanaojifanya kumuunga mkono watamdondosha am telling uu!!
Na ukute they know what their doing!!
Mission accomplished!
Thnxhahahaha sio diamond uyu tunaye mjuwa ..hakuna mtanzania anaye weza kumshusha sasa.. toka 2012 mnasubiri ashuke..
ulichonijibu "" kiko tofauti na nilicho comment"" anyway "" kwahiyo kwakuwa ana hiyo nguvu basiii inakuwa inampa mamlaka ya moja kwa moja ya kupambana na waziri """? ....Yuma ya diamond kuna nguvu kubwa mno ,huijui tu. Ana watu wengi ambao shonza hana na kibaya zaidi shonza hana ajualo kwenye system, sio kila mtu unaweza mvamia tu.
Waziri ni temporary nakuambia hana ushawishi wowote, hata aseme chochote ,nchi zote wapo watu wanasimamiwa kwa kushirikishwa,. OK umezungumzia nguvu ndio Diamond anayo , kifupi diamond kamshinda shonza connections, fedha ,ushawishi,umarufu na kubwa zaidi mchango ktk chama.ulichonijibu "" kiko tofauti na nilicho comment"" anyway "" kwahiyo kwakuwa ana hiyo nguvu basiii inakuwa inampa mamlaka ya moja kwa moja ya kupambana na waziri """? ....
aiseeee wewe Jamaa """ huelewi hata nachokiongea .....usiku mwema mkuu""Waziri ni temporary nakuambia hana ushawishi wowote, hata aseme chochote ,nchi zote wapo watu wanasimamiwa kwa kushirikishwa,. OK umezungumzia nguvu ndio Diamond anayo , kifupi diamond kamshinda shonza connections, fedha ,ushawishi,umarufu na kubwa zaidi mchango ktk chama.
Utasubiri sana, hata akianguka kesho mafanikio aliyonayo ni mfano wa kuigwaDiamond kumbe inauma eeehhh!!
Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...
Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?
Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!
Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.
Mchawi binadamu paka katumwa tu...
Shonza paka..mchawi unamjua sana!
I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
KwelDiamond kumbe inauma eeehhh!!
Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...
Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?
Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!
Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.
Mchawi binadamu paka katumwa tu...
Shonza paka..mchawi unamjua sana!
I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
Aaa wapi, kwa unavyo onekana unabif na mond nini, mbona poooovuuuuuuuDiamond kumbe inauma eeehhh!!
Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...
Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?
Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!
Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.
Mchawi binadamu paka katumwa tu...
Shonza paka..mchawi unamjua sana!
I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
Mbona Lady Jaydee amesimama bila Clouds acheni inabidi media na wasanii wategemeane ndo maendeleo hayo yanatakiwaHaitakuja kutokea mkuu. Clouds ni kitu kingine. Msimpe bichwa jamaa atakuja kufeli vibaya
Ni bora kujiepusha na mabeef ya haya mamedia
Hahaaaà. Kasimama yuko wapi?Mbona Lady Jaydee amesimama bila Clouds acheni inabidi media na wasanii wategemeane ndo maendeleo hayo yanatakiwa
Tafuta wasanii wenye mkwanja bongo ndo utajua Komando Jide huko wapi?Hahaaaà. Kasimama yuko wapi?
Poa. Basi inabidi mond aendeleze mabifu na media ili azidi kuwa juu.Tafuta wasanii wenye mkwanja bongo ndo utajua Komando Jide huko wapi?
Du wa mikoani mnadanganyana unadhan Jide wa Machozi band ndio wa sasa?vyuma vikazileTafuta wasanii wenye mkwanja bongo ndo utajua Komando Jide huko wapi?
Lakini usiwe na roho mbaya mpenziSawa!!yetu macho....!!!!
Maana kuna =>clean versionDiamond acha kulewa sifa,fata taratibu na sheria,acha upuuzi wa kuweka video za kijinga kiasi hicho aise,
hivi kama ni Tifah angeanikwa vile ungejisikiaje broh.
huo ni ujinga
hii ni Tanzania lazima tulinde maadili yetu.
acha ushamba braza.