Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Tandaleeeee..... ndipo ninapo tokaaa...

wana muita chibuuuuu, nani...?
 
Dayamondi ana point ya msingi ila kwa huu uwasilishaji wake yanakuja mtokea puani. Huwezi shindana na serikali
LAKINI LAZIMA UYAPIME MAAMUZI YALIYOTOKA YA KUFUNGIA NYIMBO HAYAKUWA NA BUSARA HATA KIDOGO,,DIAMOND ANALIPA KODI,,HAWEZI KUJUTA I ASSURE YOU
 
Jaman jaman washauri mshaurini kijana apunguze spidi,makonda hawezi mlinda miaka yote.

Kuna watu walikua na kauli za siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa leo wako wapi!

Kafungwa sugu mbunge mwenye kura nyingi kuliko wote TZ sembuse yeye balozi tu wa kuuza jina aiseeee
 
LAKINI LAZIMA UYAPIME MAAMUZI YALIYOTOKA YA KUFUNGIA NYIMBO HAYAKUWA NA BUSARA HATA KIDOGO,,DIAMOND ANALIPA KODI,,HAWEZI KUJUTA I ASSURE YOU
Sijakataa hata njia ya ufungaji wanayotumia sio rasmi Kama dayamondi alivyosema kwenye hiyo tweet, wanataka mtu akate rufaa kwa barua ila wao hawatumi barua kumfungia mtu. Huu ni ubabaishaji

Ana madai ya msingi sana ila kutunishiana misuli na serikali is Never a good idea. Never. Anajiwekea mazingira magumu mwenyewe kwa sifa za kijinga, atafute njia rasmi ya kudeliver maoni yake
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Huu uwoga utawaisha lini? Serikali inapaswa kuogopa wananchi. Duniani kote serikali inawaogopa sana wananchi. Na serikali haiwezi kushindana na wananchi popote pale duniani
Serikali inaweza ogopa wananchi(mob) ila sio mwananchi. Mwananchi mmoja Ni rahisi Sana kukunyoosha
 
Leo ndo anauliza kwamba wanamziki wengine ni wa kufungiwa miezi sita...kwani wameanza kufungiwa leo?? Mbona hajapaza sauti siku zote... tatizo kajiona mdogo wa taifa kaka wa taifa atamlinda.. wacha aisome namba eeeee
 
Sijakataa hata njia ya ufungaji wanayotumia sio rasmi Kama dayamondi alivyosema kwenye hiyo tweet, wanataka mtu akate rufaa kwa barua ila wao hawatumi barua kumfungia mtu. Huu ni ubabaishaji

Ana madai ya msingi sana ila kutunishiana misuli na serikali is Never a good idea. Never. Anajiwekea mazingira magumu mwenyewe kwa sifa za kijinga, atafute njia rasmi ya kudeliver maoni yake
Kabisa yani kama vile masikio yamezidi kichwa. Kisa mtu unaenda imba world cup ndio usiwe na break za maneno. Approach ni mbaya sana usikute kaona Shonza ni mwanamke amekua mnyonge wake.
 
Back
Top Bottom