Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Diamond arudisha dongo lingine kwa Naibu waziri wa Sanaa Juliana Shonza

Huu ndio uanaume sio wanaume wa dar wakifungiwa wanaufyata kama dem wangu wa kigamboni..

Mwanaume ni kukomaa hadi mwisho hata siku ya mwisho ukija kushindwa unaonekana umepambana kiume lakini nguvu hazikutosha..

Mwanaume anakufa na pride yake.
Bora ufe mara 1 na pride kuliko kuishi mara 100 ukiwa boya boya.

Wanaume wa dar igeni mfano huo
 
28753916_1503705896421900_7033096667612053504_n.jpg
 
Nimeshangaa sana kaka diamond kujibu hii kitu.hapa nipo nasikiliza ule wimbo wake unaitwa "bora nikae kimya" huu utawala hakuna aliyesalama, ila ni suala la muda. Tusipende kujitoa kwenye mambo yanayoligusa taifa eti kisa unakula nao au unalelewa na wao
 
Sio kwa tz Hii

Wanaafiki kibao wasiopenda awe juu!

Hao hao wanaojifanya kumuunga mkono watamdondosha am telling uu!!
Na ukute they know what their doing!!

Mission accomplished!
Wanaomshangilia Diamond kumshambulia hivi waziri wala sio kwamba wanampenda bali wanajaribu kujua nini kitatokea? Binafsi mimi nampenda Diamond lakini hili la kumshambulia waziri as if ni hawara yake kwakweli sikubaliani nalo kabisa.....Diamond amekosa adabu kabisa pengine anamjibu Shonza kwakuwa ni mwanamke lakini kamwe kwenye hili hatoweza shinda maana anayofanya waziri na taasisi yalikuwa ni maagizo ya Rais sasa unapo mshambulia waziri kwenye mitandao maana yake unamshambulia Rais
Diamond anaweza kuwa na hoja lakini hii njia anayotumia haiwezi kumfikisha popote....maana kwenye hili hawa wanaomshangilia watakuja kumgeuka......Nyimbo zake zote hakuna aliyoonewa hata moja.....kwa hiyo kujifanya ana mdomo sana kunaweza mponza zaidi......
 
Diamond kumbe inauma eeehhh!!

Hahaaa ukiona wenzio wananyolewa tia maji
Its ur turn men...

Leo hii times FM imekua bora kuliko clouds?

Hizo ni frustration tu!hukutegemea kama yatakua hvyo wewe pambana na hali yako!

Kwa bongo hii without clouds unafeli kakaaa.

Mchawi binadamu paka katumwa tu...

Shonza paka..mchawi unamjua sana!

I'm sory simchukii mondi ila nampa ushauri
Ni kipindi wasaniii wakajitambua hawawezi kuwa na mafanikio kwa kutegemea clouds...what is clouds....wasanii wajenge umoja na wote wagome clouds kupiga nyimbo zao, tuone hili jitembo litakula nini...wakitengana wataendelea kunyanyaswa milele, waache wivu, wajenge satisfaction moja watafanikiwa sana dhidi ya hili bepari la mziki nyonyaji ....
 
Hivi mond hajawahi date na shonza kweli?maana...[emoji23][emoji23]
 
Wanaomshangilia Diamond kumshambulia hivi waziri wala sio kwamba wanampenda bali wanajaribu kujua nini kitatokea? Binafsi mimi nampenda Diamond lakini hili la kumshambulia waziri as if ni hawara yake kwakweli sikubaliani nalo kabisa.....Diamond amekosa adabu kabisa pengine anamjibu Shonza kwakuwa ni mwanamke lakini kamwe kwenye hili hatoweza shinda maana anayofanya waziri na taasisi yalikuwa ni maagizo ya Rais sasa unapo mshambulia waziri kwenye mitandao maana yake unamshambulia waziri...
Diamond anaweza kuwa na hoja lakini hii njia anayotumia haiwezi kumfikisha popote....maana kwenye hili hawa wanaomshangilia watakuja kumgeuka......Nyimbo zake zote hakuna aliyoonewa hata moja.....kwa hiyo kujifanya ana mdomo sana kunaweza mponza zaidi......
Ruttashobolwa, una maanisha Diamond hana NIDHAMU siyo?
 
Nyie ndio mnampoteza mwenzenu kwa sifa za kijinga
Duniani hapa hakuna msanii mkubwa kuliko.media

Kil.msanii anahitaji media zote katika kufanikisha kazi zake
Na nyie ndo ambao mtaipoteza hiyo Media (clouds) round hii kwa kuwaaminisha kwamba hakuna msanii bila media..inaweza kuwa kweli ni ivyo lkn hiyo isiwe sababu wasanii wakubali kunyonywa au kudhulumiwa maslahi na hizo media.

Jamaa kaamua kusimamia maslahi yake na 'hawataki aendelee' hiyo iko wazi, BTW Tanzania kuna media nyingi tuu hao mawingu wasijikute Miungu watu
 
African beauty ni Bonge la track na nalikubali balaa yaaniii!! Hayo makelele mengine mtayajua wenyewe
 
Ni kipindi wasaniii wakajitambua hawawezi kuwa na mafanikio kwa kutegemea clouds...what is clouds....wasanii wajenge umoja na wote wagome clouds kupiga nyimbo zao, tuone hili jitembo litakula nini...wakitengana wataendelea kunyanyaswa milele, waache wivu, wajenge satisfaction moja watafanikiwa sana dhidi ya hili bepari la mziki nyonyaji ....
Nyinyi wenyewe mnasapoti wasanii wa cloouds na kuwaacha walioamua kujitegemea
 
Wanaomshangilia Diamond kumshambulia hivi waziri wala sio kwamba wanampenda bali wanajaribu kujua nini kitatokea? Binafsi mimi nampenda Diamond lakini hili la kumshambulia waziri as if ni hawara yake kwakweli sikubaliani nalo kabisa.....Diamond amekosa adabu kabisa pengine anamjibu Shonza kwakuwa ni mwanamke lakini kamwe kwenye hili hatoweza shinda maana anayofanya waziri na taasisi yalikuwa ni maagizo ya Rais sasa unapo mshambulia waziri kwenye mitandao maana yake unamshambulia waziri...
Diamond anaweza kuwa na hoja lakini hii njia anayotumia haiwezi kumfikisha popote....maana kwenye hili hawa wanaomshangilia watakuja kumgeuka......Nyimbo zake zote hakuna aliyoonewa hata moja.....kwa hiyo kujifanya ana mdomo sana kunaweza mponza zaidi......
Wewe ni mwepesi sana Wa kusahau. Ney na wimbo wake Wa "Wapo" alipata msukosuko toka jeshi la polisi, Rais magufuli akawaambia wamwachie na akasema anaupenda sana huo wimbo. Kawaziri hako ni kadogo sana ndugu
 
Nyie ndio mnampoteza mwenzenu kwa sifa za kijinga

Duniani hapa hakuna msanii mkubwa kuliko.media

Kil.msanii anahitaji media zote katika kufanikisha kazi zake
Tena haswaa nchi maskini!!Chrissi brown alifungiwa nje ila ana fan base all over the world that's why alisurvive ila sio Tz manaafiki kibao
 
Back
Top Bottom