Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Nampenda sana ila anaboaaa hata nyie anawaboa mi nataman wangekua level sawa na diamond sasa anatuangusha kiba kumponda sio kumchukia ni kumuweka kwenye mstarii kiba anaweza ila sijui kapooza hata sielewii
Dinazarde umenena hakika!
Huyu Alikiba naye kazidi unyonge sana hadi ana kera!
Anatakiwa aanze kupambana nae sio kunyaza tuu!
Aanze kubadilika kwenye mavazi na anatakiwa kujibu hii statement ya Diamond kwa kusema sihitaji msaada wa mtu!
Mashabiki wanatamani Ally apambane na Diamond jino kwa jino sio kuwa mpole ....hadi ana kera!
Last edited by a moderator: